Wadau niko hapa Lushoto kijiwe kimoja kinaitwa Face2face, kuna vitoto vinakatika, balaa. Nilikuwa nimesahau kuwa nimeshaoa, sas akili imerejea vizuri, ngoja nikalale tu.

Wanaume tumeumbwa Mateso
Kwamba leo Shetani hajatembelea maeneo ya Lushoto?

Anyway, kuna majitu nibmafuska mpaka shetani hataki kuyasaidia. Anayaacha tu yapambane yenyewe, na bado hayamuangushi Shetty baby a.k.a Shettlicious!
 
Shem yangu anakuja geto leo niombeeni nimle kimasihara ili nipate cha kuandika tena
 
Ila wee jamaa ni htr! UmekuliA geti Kali au umesoma shule za mission ? Unaonekana Kuna staje uliruka Sasa unawachakata haswa!
Ama ni kipato ? [emoji1787]

Chakataaaa ,,,,
 

Haya mazingira ya pale central ndivyo yalivyo, niliwahi kaa siku tatu mle kwa kesi ya makontena ya madini, wanaume huwa tunazunguka selo nzima ile ila wan awake wamewekewa bonge la kufuli wakitaka kwenda chooni mpaka waite kwa nguvu askari aje awapeleke halafu wakirudi wanafungiwa tena. ungeendelea kukaa mle ungejilia sana tu labda wangeongezeka wanawake wengine ndiyo ungeshindwa
 
MPANGO WA KUMLA MCHUMBA WA JIRANI YANGU WAFANIKIWA MANEINER
Taifa la shetani, wajukuu na vitukuu vya lucifer, wenyeviti na makatibu wa ngono ulimwenguni, wajumbe wa mkutano mkuu wa zinaa taifa, waasherati

Nilikuwa na stress zangu ila sasa zimeisha baada ya kuingia katika huu uzi mamaee, long live Jamii Forums
 
Hizo msg unazosemaga ziko wap?

Je anaekaa kimia ukimtext huwa unafanikiwa kwa wa aina hiyo.

Je anaekublock na ilihal umemwelewa unafanikiwaje kwa wa aina hiyo.


Twende kazi Carlos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutumie zile texts ulizosema ukimtumia mwanamke yeyote lazima apate hamu ya kufanya sex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…