Wewe ni kiboko
Huyu jamaa kweli huu Uzi anautendea haki pia mpaka nashindwa kuelewa Yuko umri gani.
Mie nakumbuka hizo Mambo nikiwa chuoni hata kwa siku unapiga watatu ,ni kupendeza tu na ukijaaliwa umbo like demu wanapenda basi. Afu ni kuwachatisha English tu na nikikutana na demu ni full English mpaka naulizwa ivi kweli wewe ni mtanzania na nimepitia kayumba zote. Na kiswahili nilijua nikiwa 10 yrs old so binadamu anajifuza akipenda kitu.

Yaani enzi izo una demu wako ananipa namba na hauoni,yaani Kama thunderstorm lighting.
Basi saivi majukumu mengi na maisha ya kawaida time ya ku invest kwao Sina.

Kiukweli unavyowekeza akili yako kwa eneo moja masaa 24 you think about it unakuwa very deep kuliko kawaida so hata jamaa nadhani ameshakuwa deep Sana kwa hao watu
.
Kuna muda mie mpaka demu nikikutana naye nishajua Kuwa yake ikoje 😁.
Mana jamaa mpaka amesevu sms ni kuwa fowadi tu
Ni Kama una mademu hata ishirini unawaunga group moja kawaida ukituma sms moja inaenda kwa wote at once so unamuona aliyeko karibu unamla.
Sema ukiwa hauna stress uhakika wa hela upo.
Mfano una b zako kadhaa umenunua bonds za bot yaani hela inaingia bila mawazo. Huku una benzi lako ziti ni kuzungukia viwanja vyote utawala mpaka utachoka.
Sema Sasa hakuna tuzo ,Wala sio urithi kwa wajukuu zako.
 
Ukiwa hauna stress ,uhakika wa hela upo.


Hawa watu ukishakua "Mtu" ,utawakimbia jooh
Ndo Mana nimekuambia kuwa hauna stress hela zinakuja tu Mana umenunua bonds Zako Kama za b kidhaa.
Hapo pia inategemeana Kama umefikia ndoto zako na hauhitaji kuji expand zaidi ya hapo ulipofikia.
Tuchukulie Kama umeimudu njia ya mbeya dar kwa basi zako na soko umeliteka ,utaanza kuumiza kichwa utatekaje dar Arusha mpaka karatu ,
Later mbeya mwanza hapo muda unawaza how to expand your empire. Ila mie ke sio ya kuiwazia Sana Mana nikihitaji naipata siku iyo iyo nikichelewa labda ni kesho yake.
So ke ni sawa tu sijui nisemeje hawanipi mawazo kuwa Kama ninavyopata mawazo kuwa akaunti inatakiwa isome bilioni+ ama niwe lijighorofa Fulani hapa town Kama wanaume wengine Mana wote Wana betri mbili kama why mie nishindwe so nakuwa Sina raha Jooh
 
Utajiri upo kaburini watu wamekufa na ndoto
 
[emoji23][emoji23][emoji23] miandiko mizuri na iliyochangamka kama hii huwa ni ngumu kuiamini sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
J
Jf kila mtu tajiri.
 
Asa we jamaa mbona kama unateseka na vitu ambavyo havina ulazima wa kukutesa
 
Too many names in one post. So who am i, a young man or a son of Lucifer?

Simple advice, if you can't stand the heat, then get out of the kitchen. Hujalazimishwa kuwepo humu sir!

Ni either uachane na huu uzi, au usome na udinde kimya kimya!
[emoji23][emoji23][emoji23] imeisha hiyo
 
Kuwa makini asije anarudi na kidumu cha petrol mkuu... 😂
 
Ikifika zamu yako siku ya siku ulete ushuhuda pia. Aah aah aah

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Umepewa onyo Ukisaliti n galon la petrol
 
Hahaha atajua umemuanika huku
 
Hahah bending moment...umenikumbusha Mbali Sana .. ma strength of materials,shear force.... lecture alikuwaga mzinguzi sana
 
Sasa msaliti uone[emoji1]

Moto wa petrol unakuhusu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Masihara yaendelee baada ya mechi.
Naomba kusema yafuatayo:-


1. Natoa shukrani kwenu nyie akina Baba mlio oa na kisha mmefungulia wake zenu biashara za huduma za fedha (Tigo Pesa, Halopesa, mpesa n.k) na wake zenu ndio wako kibandani kutuhudumia kwa kifupi mmetusaidia masihara kumasiharika.

2. Niwashukuru wenye hotel kuajiri wadada wadogo wadogo na kisha kuwapa uniform hasa suruali nyeusi za vitambaa zinazobana miili yao sawia, na mnawaruhusu kufanya delivery kwenye ma ofisi zetu.

Yan unachukua namba unauliza anafunga saa ngp kazi, anakuambia saa mbili usiku, ikifika saa mbili unamfuata kumpa kift kisha una mwambie kachoka na kasweat unamwambia unamtafutia sehemu aoge mara moja kupunguza jasho kisha umdrop nyumban kwake, anakubali unasaka room anavua nguo anaoga.

Visa vingi, ila wale wazee wa kusema chai ngoja niwasubirie wao walete visa vyao visivyo chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa mkwara huo utafute fire extinguisher tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…