Mm nilibandua zigo mpaka asubhi na tigo nkalaa kiroho mbaya nkampa na pesa yake 70000 cash
Hahahaha kumbe nilimpa mapesa fake baada ya 2 week akanitumia sms ya page 10
Kumbe walimdaka wakamzibua na walimngoa meno mawili

Punguzeni tamaa wadaaa
Ila huyu ni adui umetengeneza. Siku mkikutana, tegemea chochote mkuu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hivi visaa vya mwishoo hapa nimeeleqa why wadada wameanza kutuchomaa motooo na kutuua aiseee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio poa kabisa. Haya mambo, ni vyema mnamalizana, kila mtu anaondoka ameridhika. Hii dunia ndogo sana, huwezi jua mtu mnakutana wapi.

Kuna kisa kimoja. Kuna siku nilikuwa Bundesliga pale Mwanza. Kuna demu kamuanzishia vagi jamaa, demu anasema jamaa alimtmba halafu akamkimbia bila kumlipa. Jamaa alikuwa na watu amekaa nao. Ilikuwa embarrassment mbaya sana.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nashauri mademu nao waanzishe uzi wao title iwe "mademu wallowing liwa kimasihara" turned muitikio was kwenye uo uzi
 
Acha na mimi nielezee japo sijui kama ilikua masiara au nilisotea

Mwaka 2017 kuna pisi nlikutana nayo maeneo ya kazini ilikua ni pisi kweli ina kila sifa za kuitwa pisi tukasalimia ikaisha,siku nyingine nikakutana nayo nkaisaundisha ikatoa namba


Kuna weekend moja nikaicheki nikauliza kama inatumia kilevi ikaniambia labda wine basi nkayambia inipe campan iligoma goma ila nlipokaza ikakubali kishingo upande

Fasta nikawaza kiwanja cha kuipeleka, kidogo ikafika mahali nilipoielekeza tukutane, tukaondoka kuelekea kiwanja nlichopanga kwenda ni nje kidogo ya mji
Hapakuwepo na watu wengi kivile nafikir ni sababu ya mda maana ilikua bado mchana

Tukagiza msosi badae tukahamia kwenye maji,tulianza kunywa kwanzia saa10 jion mpaka saa2 usiku mda wote narusha mistar lakin pisi hainielewi ikaniambia imekuja kunipa kampan ya kunywa na sio kunyanduana na kama naona ni sababu nalipa bil basi itajilipia yenyewe

Dah ikabid niwe mpole tu,nikamuita mhudumu nikabadili kinywaji kutoka castle lite kwenda kvant lengo nilewe nikalale maana kilichonileta nimekikosa

Nimeanza kunywa kvant pisi ikaniuliza hyo kitu ina ladha mbona kama nakunywa kwa mateso nikaiambia ipo poa ata wewe unaweza piga tu si ikachukua glas yangu ikaonja ilisisimka ikaniuliza nawezaje kunywa kitu mbaya namna hii nikamwambia wewe umeona mbaya kwa sababu umekunywa kidogo ila ukipiga kama robo glass ndio utapata ladha yake halisi.

Nikamshawishi akapiga tena kidogo mara kidogo tena mara kidogo tena huku ananiambia mbona ladha haibadiliki nikamwambia itabadilika tu ata kabla ujamaliza nusu glas,kweli kamaliza nusu glasi,kidogo naona kachangamka kuliko mwanzo,mwisho nikamwambia twende nikurudishe kwako nikalale maana na mm nlishaanza kila mdada pale ni mrembo wakati kabla sijalewa walikua wa kawaida tu

Mm nikatangulia nje kumsubiri ametoka kanikuta nimegemea gar kwa mgongo mbele yangu kulikua Kuna gari ninakuja yale maeneo lina mwanga mkali ghafla pidi ikaja ikanikumbatia na kunipa mate ule mwanga wa gari ukawa unamlika yeye mgongo kwa hyo ata aliekuwepo kwenye ilo gari hakuona sura zetu

Gari lilipo pita akaniachia akaniambia hakumanisha alichofanya bali aliukwepa ule mwanga wa gari usimulike usoni isije kua alioko kwenye gar anamjua,dah mm nilifikir kabadili mawazo ila nikahaidiwa kupewa tunda siku nyingine hyo siku hayupo vizur,tukaingia kwenye gar tukasepa ila sikukata tamaa njian niliendelea kumpa maneno na kumuambia kitendo alichofanya cha kunikumbatia kimearibu kila kitu akilini

Badae nlibadili mawazo ya kumpeleka nyumban nikamuomba tuende kiwanja kingine aligoma na kusema hawezi kunywa zaid ya pale mm nikamwambia utakunywa ata maji tu,tumefika mm nikamuwai mhudumu nkamwambia leta glas moja ya wine na kv ndogo demu kamind kaniambia yy atakunywa maji tu mm nikamwambia amna tatizo acha alete ikae mezan ionekane tupo pamoja,ikaletwa akagoma goma kunywa mwisho akanywa japo akumaliza glas

Hapo tukaondoka ila alikua tiari kachangamka aswaa,Sasa tumefika kwenye gari nikamuambia nielekeze unapokaa nikuleleke nikalale maana ilishafika saa5 usiku

Aisee jibu nilililopewa sikuamini aliniambia nipeleke unakoelekea nikamuliza unajua nakoelekea? Akajibu nipeleke unakotaka nikapigwa na bonge ya kiss nikajua imeisha hyoo nikatafuta chinjio moja matata nikamtafuna mpaka saa11 nikamrudisha anakokaa nkasepa zangu..
 
Ikaendeleaje mzee
 
Ndio kusema vijana hamjui kutongoza tena au mademu wanakula pesa kimasikhara?
 
Kabisa unakaa ukiwazia pesa ya demu. Girls can offer you sex only!
 
Hahahahah [emoji123]
 
Kuangaika kote huku kuiangaikia papuchi......dah kweli tuko tofauti!!
 
Nacheka kama mazuri!
 
kwanza ni usela wa kizamani kumkimbia demu, Kama mlikubaliana mtoe chake kiroho Safi. Wana visasi sana hawa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…