Ni Lecture au Lecturer?
 
lakini nyingine hizi sio masihara. mtu umetumia hela kumpeleka demu hadi viwanja hii nayo hapana.
 
lakini nyingine hizi sio masihara. mtu umetumia hela kumpeleka demu hadi viwanja hii nayo hapana.
Sikuandika tu kila kitu sababu paragraph zingekua nyingi. Yeye alisema sababu hatolipia budget ya chumba basi angependa gharama za vinywaji na Chakula ziwe kwake kwa Muda wote tutakaokua pamoja sababu wote bado watafutaji.

Nilicholipia mimi ni msosi siku ya kwanza aliokuja ambayo ilikua nadhan 7,000/- hivi kwake.
 
Majibu bado mkuu,
Lakini hatua ya pili (oral) imesimamishwa kwanza

Mwenda bure sio mkaa bure, na heri ya tisa kenda kuliko kumi nenda. Something is better than nothing so hata nikikosa kazi angalau nilifaidi mtoto wa kitanga.
[emoji23]
 
That's the spirit baharia! [emoji3516][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…