ukimwi upo na unauwa..siku zote majuto ni mjukuu....acha juuza mechi mdogo wangu
Mkuu Asante kwa kunikumbusha. Ila kulikuwa hamna namna kwa mazingira yalivokuwa ikabidi mechi iuzwe ila nilishapima nipo safi kabisa na kesho naweza kula msingida mwingine ambae alinielewa miaka kadhaa iliopita aliponikuta kitengoni nikamhudumia kwa weledi na customer care ya kipekee. Sitarajii kuuza mechi maana vipimo nnavyo tayari na condom za emergency.
Subirini mrejesho.
 
Aaah basii tuu niko Kusini hukuu ndanda kucheleee ukiinama nchale ukisimama nchaleee dah...!

Ningeomba namba nitest mitambo yanguu kama Dr GwajGirl

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hahah mkuu nasikia kusini watoto wana roho nzuri sana katika utoaji tunda, Nikuombe uedelee kutuheshimisha kama balozi mwandamizi wa uzi huu pendwa huko Ndanda.
 
Ulitangulia kusafiri yeye akaja lesho yake lkn baada ya kumpokea na kula mkaanza kutafuta lodge inamaana we jana hukulala? Acha chai
 
Hahah mkuu nasikia kusini watoto wana roho nzuri sana katika utoaji tunda, Nikuombe uedelee kutuheshimisha kama balozi mwandamizi wa uzi huu pendwa huko Ndanda.
Dah acha tuu wana kamsemo wao wanasema

"Niongezee buku nikupe ntindo"[emoji23][emoji23][emoji23]."

Nishidaaa...

Na simuangushi maana mi pia mjumbe mwenezi wa uzi wanguu huu Pendwa ambao bingwa wa kunisahaulisha Tozo[emoji1787]



Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 

The best story among most
 
Tatizo lako ulimwogopa kisa anafanya kazi taasisi ya fedha. Unakosa mali safi kisa woga
 
Tatizo lako ulimwogopa kisa anafanya kazi taasisi ya fedha. Unakosa mali safi kisa woga
Mkuu kweli kabisa, ila tatizo kulikuwa na kuheshimiana sana. Huyo alikuwa ananiheshimu sana. Hata tulipoingia kwenye mahusiano alikuwa akiniheshimu sana. Hata kama ningechukua uamuzi wa kumuoa nisingelijuta. Maana hata sasa anamheshimu sana mume wake.
 
Kabisa ni bora kufianjuu ya mbususu kuliko kufa kwa kuumwa corona
 
Karibu majimaji huku kiongozi
 

Sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…