Kaka mkubwa, mikate ulinunua Moro, sio Dodoma.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dah mi mwenyewe na safari yangu ya Dar to Songea hivi karibuni nampango wa kumpanga konda asiniangushe kunipanga na Njemba tena ukute linakula Feg dah...[emoji23] utaona safari ngumu.

Ye anitafutie kimwana tena wa kinyaturu mbususu nyeupe yenye kigoda chake akaa...!

Akilegea natia mrija humo humo sisubiri hata tufike[emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Punguza Chai.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hizi safari ndefu huwa ni nzuri ukikaa na Manzi. Kwasababu zinachosha sana na hakunaga Ujanja kwenye hizi safari.
 
Kwa hiyo ulimnyandua kwa siku zote tatu??., Wewe ni hatari sana.
 
Nitumie Namba yake ya simu ili nimsalimie
 
Umetisha sana hongera kwako
 
Mdogo wetu hapo tunasema uliliwa kimasihara na manzi, imebidi nicheke tu [emoji23][emoji23] ukaacha mbunye ukaenda kusali + ulikua malaya mzee, jua uyo manzi alikua anakuwinda kitambo tu
Brother kula tunda kimasihara maana yake ndo hiii[emoji16][emoji16]
 
Kutafutwa na police ulijuaje?



KAMA MTU HAWEZI ANDIKA HABARI INAYOELEWEKA APEWE ZAWADI YA LIFE BAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…