Kwenye magari kumbe ndo kuna ushenzi hiviii Daaah
Sitasahau nilikuwa nasimuliwa na kuzisikia hizi stori mpka yaliponikuta mm mwenyewe

Ipo hivi ilikuwa route ya Dar- Dom, siku ya safari nimewahi zangu vizuri tu mbezi Ili niondoke na gari za 1 asubhi: nimeshuka kwenye daladala nikakutana na wakatisha tiketi pale stendi ya mbezi ya daladala nikawaomba KWA 18000 wakaleta mizinguo wakawa wanataka 22000 au 25000: nikijiangalia salio langu ni la kubangaiza na safari yenyewe sio ya kwenda kupata pesa zaidi ni ya kutumia pesa na pesa zenyewe ndo hamna kabisa bajeti zimegoma kabisaa yaaani

Basi nikaambiwa na wale wakatisha tiketi Kama huna 22000 ingia stendi ya Magufuli ndani ukaongee na makonda husika, nikasema powah nikazama ndani nikakata tiketi yangu nikatulia zangu: nkamuulizia konda gari inaondoka saa ngapi akasema 1: 30 kumbuka nimeingia stendi tangu saa 12 na dk kadhaa hivi asubhi ikabidi nisubiri mpka huo muda gari ikaondoka

Kufika Getini Ili tutoke wale jamaa wa ukaguzi- traffic officer - wakafanya Kazi yao wakalirudisha gari stendi tena kwamba gari ni bovu, nakumbuka walimpa dereva jaribio la kulizungusha tairi sasa ikaonekana lilikuwa na shida kwenye hiyo tairi ya mbele, Basi gari ikarudishwa ndani ya stendi tenaa ikafunguliwa tairi abiria tukawa tupo Nje tunasubiria: pale Nje nikawa nazoom pisi kali ambazo tupo nazo kwenye gari nikazichora zote uzuri nilizoziona zilikuwa Kama 3 hiviii nikasema ngoja nijitafutie wa kumuonea mmoja

Basi muda tupo pale Nje tunasubiria gari ikabidi nijongeee nipate hata mihogo Mana njaa ilikuwa ilishaanza kunikatili, pale kwenye mihogo ilikaa pisi MOJA hiviii na mother mmo1, walikuwa wankula mihogo na soda mirinda nyeusi, nilipofika na mm nikaagiza the same tukaongea tukazoeana pale stori za hapa na pale Basi nikamaliza mihogo yangu nikawaacha wakawa wanataka kwenda msalani

Gari ilipomalizika abiria tukaingia kwenye gari, ile tunataka kutoka wale traffic wakasema BADO gari haitaruhusiwa kutoka stendi dadeeeki hapo ni saa 4 hiviii , nikasema loooh hii safari Kazi ipo. Gari ikarudishwa tena kwa mara ya 2 stendi tena Ili ifanyiwe marekibisho tena shida ni ile ile TAIRI ya mbele, abiria kuona hivo tukaraise tunataka nauli zirudishwe Ili kila mtu aangalie ustaarabu mwingine

Tukazozana pale ikabidi jamaa watufaulishe kwenye gari ingine, Basi yule binti nilikuwa nishachukua namba yake hii n baada ya zile mizozano waliachana na mother yake ndipo nikamvuta pembeni akanipatia namba- 1st trial mission done

Tulivoondoka dar nadhani ilikuwa kwenye saa 6 mchana hivi [emoji26] tumefika moro kwenye saa 9 au 10 nadhani tukashuka.kuchimba dawa nikammuliza huyo ni mama Yako akaniambia hapana,Basi nikamuomba aje akae na mm badala ya yule mother ambaye muda wote nilikuwa nafikiria n mama yake kumbe naye alikuwa anasafiri zake tu

Ee Bwana weee [emoji1787][emoji1787] yajayo yanafurahisha naomba niishie hapo ..... Itaenndelea part 2
 
Watu kama nyie mnahitaji nn [emoji2961][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji23] malizia sasa story
 
chai

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hii sio kimasihara mkuu leta story ingine
 

Popote ulipo em jichome dole la trrrako alaf inuse na kimoyomoyo sema mm ni fala....hiyo part 2 kasimulie kwenu
 
Mlikaa upande wa siti tatu au siti mbili mkuu??
 
Weekend yote hakuna aliyekula kimasihara? Au mnataka tulete chai
Tunaogopa kuleta ya miaka ya 2010, tunataka za moto moto.. Mtu aliyekula kimasihara jana..
Mtu alikuwa anapita barabarani, akaitwa, akasogea, akasalimiwa kwa sauti ya huba, akapapaswa, akapimwa oil (oil ikatest +), chupi ikasogezwa pembeni, pande la nyama likapachikwa-----Mvua ilikuwa inanyesha nyesha!!

Vijana wana story sana!!
 
Hahahaha we jamaaa
 
Ha ha ha ha mkuu kumbe umenifatilia nukta kwa nukta. Mikate nilinunulia Morogoro [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…