Nimesoma weeee,naona na mie nitoe uzoefu wangu...mie nilikula mtawa,alikuwa sister moja mzuri sanaa,ndio kwanza katoka kufunga nadhiri.Hawa watu nao ni binadamu na wana nyege sana usiombe.
Miaka hiyo nipo zangu seminari,bado sijajua sana mambo ya papuchi na mademu nawaogopa kidogo.Sasa siku hiyo kulikuwa na Uaskofu,askofu alikuwa anasimikwa(Jimbo nalihifadhi),nakumbuka ilikuwa 01/September...huyo bishop alikuwa anasimikwa jimbo la jirani na jimbo letu,ila kwa vile kihistoria hilo jimbo jirani lilikuwa ndani ya jimbo letu kabla ya kugawanywa,hivyo kuna mambo mengi ya kihistoria tume-share,sasa sisi tulichukuliwa seminarini kwenda kwenye Uaskofu sababu kwanza Askofu alisoma seminari yetu kabla ya kugawanywa jimbo,na pia alikuwa mwalimu wetu miaka ya nyuma kabla hajapewa uaskofu(Mkuu wa shule seminarini huitwa Gombera au Rector kwa kingereza)
Basi mie nilikuwa kiranja mkuu pale seminarini,kwa hiyo nikaambiwa niteuwe watu 20 wa kuwakilisha na mie nikiwemo,basi usafiri ukawa tuna share na masista,ilikuwa ni coaster moja.Wakatupitia pale seminari kama saa 11 alfajiri kuanza safari ya kwenda jimbo jirani,maana palikuwa na umbali.Sasa katika kuingia mle ndani,mie nikaenda kukaa kwenye siti moja na huyo Sister,nilipofika kama kawa nikampa zile "Tumsifu....",then nikauchuna.Nilikuwa na novel yangu nasoma taratibuu.
Nimeenda kama saa moja,akaanza kunisemesha,akauliza jina na parokia nayotoka...swaga za watawa ataanza kukuliiza mambo ya upadre sijui utakuwa padre na stori kibao,nikawa namjibu kidizaini tu..baadae story zikakolea sana,maana ilikuwa ni safari ya zaidi ya masaa manne.Ghafla tukawa tumeozoeana na ndio tumefika.Tumeshuka naona sister yupo tu mgongoni,tumepewa itifaki ya kukaa maana wao walikuwa na sehemu yao na sie sehemu yetu,Sister yupo tu....hizi misa huwa ndefu sana,tupo in between Sister akanambia ana kiu tukatafute maji.Tukakaa huko mpaka muda wa msosi.
Baada ya msosi,ikawa muda wa michezo na zawadi kwa askofu,tayari giza limeingia tukawa tumeandaliwa mahali pa kulala.Hapo sasa mziki ndio ulipoanzia asee...Sister akaenda walipoandaliwa akawa amenielekeza nimsubiri mahali,maana zilikuwa ni kama nyumba za wageni zina kibustani hivi(wenye uzoefu na majeno ya mission wataelewa).Kijana nikaenda kuoga nikjitega,hapo na mie akiki ishaanza kuwa moto,maana nilikuwa na ugwadu lita kadhaa.
Sr kabadili yale mavazi ya sherehe meupe,kaja na zike casual dressing zao na vitenge,kimoja kajifunga chini,kingine alipofika nilipokaa akajitanda kichwani ili kiremba kisionekane.Na kwa kweli she was a little bit order than me,nadhani ni kama miaka mitatu,lkn hawa huwa wanakaa vizuri so alikuwa bado analipa sana.Tumekaa pale story za kuniuliza masomo na wito,tumeenda naona mtu mara anashike mkono,mara acheke huku ananipiga pajani...nikaanza kuhisi kitu.Hapo ngoma inaenda saa nne usiku...pametuliaa kama kawaida ya maeneo ya misheni.
Nikaona huyu sasa anaitania,nikaanza kumuingizia story za ubikira na nini,mara ooo ninayo mara nini,nikasema aaa mi siamini,yupo aa si ushike uone...roho ikafanya paaa!!kidume nikasema kwa kushika haipimiki...maana na mie nilikuwa nusu kichaa,ndio maana walinifukuza seminary,basi kumcheki sr na zile story kaanza kupata mzuka,nikashika paja akaruka kama kapigwa shoti,kupenyeza mkono wamotoooo balaa,nikaanza kupima oil,kucheki mtu kalowaaa,pima oil huku napikicha chuchu...Mtu hoiiii,mlemle garden nikala kama viwili vya faster...Around saa sita huko tukasepa kila mtu room kwake.
Asubuhi kabla ya kuanza safari nakutana naye breakfast anaona aibu kinoma,kidume mie nikakaza tu,tukaingia safari kurudi zetu.Njiani stori kama zote na kupeana SLP...Maana wakati huo hakukuwa na simu.Wakatupitisha seminari tukashuka.Kama week hivi nikaona naitwa napokea zawadi,nikicheki zinatoka kwa Sister...baadae barua anataka Easter Conference niende maana inapofanyikia ndio makao yao shirika,nikaenda kidume napo nakimbandua.
Zikawa sasa ni barua tu ananiandikia,au jamaa wakienda kule makao makuu ya Coventin wananiletea salamu na zawadi.Siku tunafunga midterm nikapita kwao,akanilaza nyumba ya wageni anasema mseminari mdogo wake,usiku naona mtu anagonga,kaja naniletea chakula hapo wakati wenzake wameenda kupiga vesper,kaja kimitego nikala sana mzigo.
Kumbe bhana akawa anaandika vibarua anaweka hela havinifikii,kuna Father mmoja mkuda alikuwa anafuata barua posta,alistuka ule mwandiko wa kike akafungua,akakuta maneno mazito ya Sr,sasa ikawa barua zangu anaziteka...zikija tu anaziteka(tulikuwa na msemo barua ya demu ikikamatwa tunasema "ime-kapchwa",siku naitwa kwa Rector nakuta mzigo kama wa barua kadhaa zimedakwa,kosa kubwa sana hili seminari.
Kuhojiwa pale sina cha kujitetea,nikapigwa kwanza suspensio then akaitwa Paroko wangu,basi paroko wangu akapatwa na butwaa sana,alikuwa jamaa yangu ananipenda sana halafu ananiaminia sana,aliumia sana na mie nilifadhaika sana,ikawa hukumu ni kufukuzwa tu.Paroko akajipa kazi ya upelelezi kuona huyo Sr ni yupi,alipomuona siku nimemaliza suspension naenda kusikilizia hukumu kama nafukzwa au la,nimeenda kwanza parokiani,paroko ananambia,kijana wangu huu ni ubinadamu tu,usikate tamaa...pale ulipoangukia,binadamu yoyote mwenye mwili kamili angedondoka tu.
Paroko alinombea sana msamaha,jamaa wakaniacha nifanye paper NECTA,baada ya hapo nikapokea barua toka mkurugenzi wa miito kuwa wanadhani mwenendo wangu haufai kuendelea na seminari.Mama yangu alihuzunika sana,nashukuru Paroko hakumpa kisa cha mimi kupigwa suspension na kufukuzwa,sijuaginalimdanganya nini Mama,ila walau hakumpa hii kashfa yangu..."shalauti kwa paroko wangu popote ulipo"..,niliendelea na maisha mengine...Sister tukapotezana kwa muda sana,nikaja kumuona nimeshaoa.Amebaki tu kuwa best yangu...Paroko wangu nikiwa na likizo huwa naenda kumtembela na familia yangu huko alikohamishiwa,namkubali sana yule Father...Huwa akinicheki na wife anacheka sana