What happened bro
 
Narudi kianza hapa...

Alafu kuna wanawake wameliwa kimasihara wanapita huu uzi kimya kimya...[emoji23][emoji23].

Wengine tunaona hadi mnatumia browser daadeki...[emoji23]

Mje hapa mseme...njoo hata kwa ID mpya tutawapokea tuu..
 
Beberu umeiwekea vikwazo donor country, ikalegeza masharti.
Malizia stori mr beberu
 

Sina tabia ya kutoa credit sana ila umetisha kwenye vikwazo hiyo ni sanctio

Noma



Again unaandika vizuri sana
 

Cash Money Forever!
We mkorofi. Nadhani unapenda kuangalia tamthilia ambayo imekufunza kuwaacha watu na kiu ilhali wapo ukweni!

Angalia tena umeacha swali. Nini kilijiri baada ya kufurahia salamu?

Bazazi!
 
Binti bado mdogo ingeniletea matatizo mbeleni.Mana alishaanza kuniandikia vibarua kwenye vikaratasi anampa mdogo wake aniletee.Barua zake nikawa nazijibu

"Nakuheshimu hivyo jiheshimu mimi ni kama kaka yako"
Umetisha, muda huo ushakula vyako
 
Mkuu, kimsingi mtu anayetumia dawa za ugonjwa ule kikamilifu (adherence) ana nafasi ndogo sana ya kuambukiza kwakuwa ANAFUBAZA virusi.Hii haitoi tiketi kujilipua ovyo..wataalamu wa afya tunaelewa sayansi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…