Kuna uzi wa kula tunda kimasikhara....hayo hayo masikhara naona kuna watu wamelishana matunda yenye wadudu.tayari baharia mmoja anapiga ukunga baada ya kula tunda kimasikhara na kupata ngoma kimasikhara hivyo hivyo.

Moderators huo uzi sasa unatosha masikhara masikhara au mzaa mzaa hutumbukia usaa.

Mkisha kuta sisi tutawapeleka bwana.
kisha wazee wa zamani tutasimama pembeni.
lete uji selemani na maharage sahani.
kumbe tuogope nini na mpunga upo jirani?
wacha tule tu mpunga kwa ngono Zembe zenu.

Mods. Ondoeni uzi wa kula na kuliwa tunda kimasikhara.watu washakula wadudu sasa.
 
 
malizia mkuu, ilikuajee!??
 
Upo nyuma mno. Hata haujafika kwa jamaa aliyekula Mtawa? Wapo wawili wamekula watawa

Kaza vidole uendane na kasi ya uzi.
huwenda mapigo ya moyo yanawenda kasi ya 4G hasijekujikuta humo, au pengine ndio 'MTAA WA' hii dunia ina mambo.
 
Mwaka 2016 nilienda sumbawanga kikazi, of course ilikua ni mara yangu ya kwanza kufika huko.

Siku nimefika nikapokelewa na mwenyeji wangu ( mkuu wangu wa kazi) pia nikaoneshwa nyumba ya kukaa, kosa kubwa alilolifanya mkuu wangu ni alinikabidhi kwa secretary ambae nae alikua anaishi kota, ni binti flani hivi wa kichaga ila mwenye tako.

Bosi akamuambia yule binti naomba utamsaidia huyu mtu kwa hizi siku mbili akiwa anasubiri pesa yake ya kujikimu iingie, yule binti akasema haina shida.

Basi jioni ya siku ile yule binti akanitembeza tembeza pale Town kama kupoteza muda tu, then mida ya saa mbili tukaenda hotelini tukala alafu tukarudi kota.

Kesho yake asubuhi kama saa 12 hivi nikashtuka msg inaingia, kucheki namba ya yule binti ananiambia chai tayari, nikamwambia ok nakuja, nikaenda kuoga fasta then nikaenda kwake tukanywa pamoja alafu tukaelekea kazini. Baada ya kama siku mbili hivi ilikua jumamosi kulikua na mechi Manchester United Vs West ham, nakumbuka ile game Manchester tulifungwa, so nikawahi sana kwenda kulala ( kama mjuavyo maumivu ya kufungwa) ilikua kwenye saa mbili mbili usiku yule manka akanitumia msg njoo ule chakula tayari, nikamjibu sijisikii kula, naomba endelea tu, yule manka akahisi kitu kwamba siko poa, basi akakomaa kinoma nimuambie shida nini, of course sikutaka kumuambia kwa kuonekana dhaifu kwamba unaumia kiasi hicho sababu ya mpira.

Ile tunaendelea kuchati mara nikakuta mlango unagongwa, kucheki ni manka, kaona bora aje face to face ajue mgeni nina shida gani Loool [emoji23], Palepale mawazo ya mpira yakaisha nikaanza kuwaza namna ya kumvua chupi, alipoingia nikajifanya kama nina stress kinoma, si akasogea nilipokuwepo eti anani comfort, sikumbuki ilikua kuaje lakini tukaja kushtuka ni saa nane usiku tupo naked kwa bedroom, na alikokua anakaa yeye mlango kaacha wazi, ilibidi nimsindikize kafunge then tuendelee pale tulipokua tumeishia.
 
Unahusu nini

 
Naweza kula tunda kimasiraha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…