Jana ilikua karibu nile tunda kimasihara ila ukata wa fedwaaa za lodge hazikutosha
 
Hahahha
"eti hawafanyi hivyo"
Nimecheka sana mkuu
 
Hahahajananjajajana khaaa ushatuubu mkuuu
 
Sometime yes
 
Hatimae nimeshawishika kuleta yangu,
mwaka jana mwezi kama wa (iv) hivi kuna binti mmoja nilitokea kumpenda sana, nilimjua baada ya kuwa anapita asubuhi akielekea shule, kwa kuwa kipindi hicho nilikuwa na tabia ya kudamka kila asubuhi kuwahi job naye kwa kuwa njia ile ndio ilikuwa ni ya lazima yeye kupita basi akawa anapita kila siku.

Basi bwana kutokana na kuanza harakati za kumpata nikawa na wakati mgumu sana maana hakuwa na simu wala hakuwa na ratiba maalumu ya kuonana na mimi kutokana na kuwa ni mwanafunzi wa form (ii), sasa basi ikabidi nimtumie bidada flani hivi aliekuwa kanizoea sana kwa kipindi hicho maana alikuwa ana kuja kunichangia miamala ya kutoa ama kutuma pesa ktk kijiofisi changu, jina lake Mariam.. nikawa namtuma hadi kwa yule binti kisha yule binti akawa anakuja kuonana na mimi, sasa baada ya mda yule binti niliekuwa namfukuzia tukashindana maana alikuwa anatumia vitu vyangu kibao tu ila papuchi kutoa hataki (huenda kutokana na udogo/utoto wake wa under 18).

Baada ya kuachana nae yule binti nilisononeka sana maana kuachana kwetu nilikuja kugundua kuwa kila nilichokuwa namfanyia ilikuwa ni kama daraja la wengine kumpata kisha kummega(nilimnunulia simu kumbe simu ile akawa anatumia kukutania na mabwana zake[emoji31]), aliniacha na masononeko ya hali ya juu sana mpaka kufikia hatua nikawa kama mgonjwa..huyu Mariam akawa anakuja na kuniulizia nimefikia wapi kwa binti yule matata me ikabidi nimweleze A-Z akawa ananicheeka kisha akaniambia kuwa UKOME tena kakukomesha maana ulikuwa unamwamini mno..kutokana na me kutokuwa na utani nae kabla basi matani yakaanzia hapo maana alitoa kauli hiyo kwa hali ya kunichekesha vile ili kunifanya niwe normal, basi nami nikarudisha kwa utani vile vile nikamwambia Mariam hata sijakomeshwa akaniuliza vipi ulikula mzigo nikamwambia hamna wala, ndio akazidi kunicheeeeka mpaka nikajionea huruma na kweli sikuwa nimelula zigo, akaniambia kweli wewe nyuki wa mashineni yaani kumbe Bulaya001 hauna madhara kiasi hiki nami nikamjibu kuwa nina madhara tena sana tuu na ipo siku nitakukula ndipo utajua kuwa nina madhara, haijarishi hata akiwa barabarani yaani kwa mjeki mmoja tu chali kisha nazama chumvini mazima, basi akawa anabisha pale sana na kusema B wala hautawahi kuja weza maana hauna ubavu huo.

Mambo yakaja kutamadadi baada ya ule utani wangu kushika hatamu na kila wakati alikuwa anahimiza kuwa kauli yangu ya siku ile wala siwezi kuitendea haki maana sina uwezo huo, me kwa upande wangu niliongea kwa utani tu maana sikuwa na hisia nae na pia nisingeweza kumtaka maana nilishawahi kumuagizia kwa demu kama yeye na pia jambo lililonifanya nisiwe na hisia nae japo ni mzuri ni yeye kuwa na rangi nyeupe, hizi ni rangi nisizo zipenda daima..kwa hiyo sikuwa na hali yayote ya kumhitaji, na nilimheshimu sawa na dada yangu maana ananizidi umri japo si sana na pia ana mtoto mkubwa tu (nilisha jiapiza siwezi kuwa na mwanamke aliekwisha kuzaa), Na katika story za hapa na pale pia niliwahi kumsimulia kuwa siku za nyuma huko miaka ya 2015 nimewahi kumtongoza mdogo wake na kuwa nae ktk mahusiano japo sikumla ila madenda na matouch fresh..sasa sikuweza kuwa na nguvu ya kumtaka zaidi ya story tu.

Mariam wa watu kakomaa na ile kauli kwa majuma kadhaa kwa kuniulizia maswali ya hapa na pale kwa kuniambia kuwa B hauwezi nikawa nakazia tu naweza..baadae akili ikaniambia ebu acha ubwege hebu toka kwenye utani na uje kwenye reality..nikawa namwambia M embu njoo kwangu nina inshu nahitaji nikwambie akawa anazingua zingiua huenda kutokana na yale ya nyuma.

Siku moja nikamwambia Mariam leo fanya nikifunga njoo kwangu akadai wewe huwa unafunga mda umeenda sana nakuwa nimeshasinzia (huwa nafunga saa6+) basi nikamuuliza kuwa kwa ajiri yako unataka nifunge saa ngapi, akasema saa4, akaongezea kuwa mda huo baba mwenye nyumba nilipo fikia atakuwa bado hajafika, akishafika na kuingia ndani geti huwa halifunguliwi tena mpaka kesho yake, nikamuuliza kimasihara tu je, ukilala nje hawatakuhoji akadai me ni mtu mzima hivyo hawata nihoji sana na hata kama watanihoji si kiviile na majibu yeyote nitakayo wapa basi watalizika nayo.. Daah nikawa kama naota vile maana msimu huo nilikuwa na kimba la kukataliwa na kila demu na pia sikuwa nimegonga kwa mda sana, hivyo nikaiona saa4 usiku inachelewa sana[emoji51]

Imefika saa3 kasoro hivi nikamuuliza kama yupo teyari akajibu wee funga tu ukifika ghetto me nitakuja, kutoka kwao hadi kwangu hapakuwa na umbali sana na nilipo ni kama mwendo wa dk2 hata ukimuita mtu anakusikia tu, nikafunga mda huo huo ili saa4 inikute nimo ndani kabisa..nikaoga kisha nikamwambia aje akadai poa..nimo ndani nikasikia mlango wao wa chuma unafunguliwa nikasema hivi ni kweli anakuja ama naota! Basi mda si punde huyu hapa ndani nikamuuliza kama ataoga akajibu hawezi kufikisha hadi mda huo akiwa bado hajaoga tu story za hapa na pale baadae nikaanza kumpapasa, japo sikuwa na hisia nae kabisa ila nikaona sio mbaya simba leo nikila nyasi maana me mademu weupe mbali mbali kabisa arafu pia kazaa.. Baada ya mda nikawa nimemvua nguo kisha nikazasha JAMANI nasema kweli mpaka naingiza sikuwa na imani kama kweli namla dada wa watu, nikagonga show mbovu sana kuwahi kutokea ktk historian yangu ya ufuska, nilipiga kimoja tu kisha kisha tukalala..baadae asubuhi nikapiga tena kamoja kisha alisepa kwao...dada wa watu sikuwahi kumtongoza wala, hata sikuwa kumwambia neno I lav yu[emoji16][emoji16] ndio ikawa fungulia Dogg..

Ebwana baadae sikuweza kuomba game maana nilikuwa na haibu hata kukutanisha nae macho endapo akipita maeneo ya kazini kwangu, ila charting za hapa na pale zilikuwepo ila kuomba tena na show ikawa ngumu, nilikuja kupata tatizo la kufungiwa line yangu ya uwakala ya m-pesa maana niliinunuaga kwa mtu, kumbe huyo alieniuzia alikuwa wakala mkuu msaidizi kwa hiyo aliniuzia line ya mteja alie tuma line yake m-pesa(huenda ndio michezo yao ya kuuza line za watu kisha kumdanganya mwenye nayo kuwa awe mvumilivu na bado line haijatoka/ilishindikana kutoka). sasa ikanibidi nipige simu vodacom kuuliza utaratibu wa kupata suluhu ya line hiyo maana hela zote zilifungiwa hadi commission yangu ya mwezi huo pia ilifungiwa mle mle, nikawa nimeuliza vodacom wakawa wamenijibu niende kahama mjini ndipo alipo wakala mkuu wa line yangu, nikawa nimeenda, nikiwa kule demu akauliza vp mbona leo hujafungua nikamjibu kama ilivyo na kumwambia nipo kahama akasema pole sana ila ukija utanitaarifu nikuelekeze uje kwangu ili nikupe pole, japo sikukamilisha maswala yangu kwa siku ile nikadandia gali na kuwahi kuja kutunukiwa..siku hiyo ndio nilipopinga ile kisawa sawa tena nilomgongea kwake.. nikawa nagongea kwake kila mara, yaani nikawa najiona kama vile me nimeolewa maana yeye kwangu haji ila kwake naenda daily..

Baada ya muda nikaja kumuona yule mdogo wake keshapendeza zaidi kuliko hata dada yake, nikaona nimrudi maana tuliachanaga baada ya mimi kutoka eneo hilo ila hatukuwahi kutamkiana kuwa tuachane ama kuvurugana hivyo ikawa rahisi kwangu kurudiana ila dada yake alikuja kunigudua hata kabla hatujabanduana, alinitukana sana na kudai kuwa me nataka kuwatomba ukoo mzima, kwa hiyo nikawa nimekoswa wote wawili kwa pamoja na mpaka sasa tumeshakuwa maadui wa kufa yaani hata hausalimiani[emoji41][emoji41]
 
ni sawa ila mahala hapa sio salama sana kwa hiki ulicho kiandika, ushauri wangu ungepeleka huu ujumbe wako ktk jukwaa husika naamini ingependeza sana.. arafu nikukumbushe tu kuwa mchuma janga hula na wa kwao kwa hiyo hauna haja ya kujisumbua kiasi hiki...

AMA MNASEMAJE WADAU[emoji41][emoji41][emoji41]
 


Kichwa kinaniuma
 
Live, uyo jamaa katumwa sio bure
 
naunga mkono hoja
 
Yani kuna watu wana kiele ele anazan kuna mtt hum fffffck offff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…