Huyu jamaa atakuwa sio timamu au ni impotence anaona wenzie wanafaidi sana[emoji23] hebu mpuuzieni tuu
 
Huyu jamaa achana nae anashida sehem,hata nyuzi zake hakuna anaechangia ameona bora aje kwenye uzi huu na yeye afanye conversation na watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwamba anaona humu kwenye jukwaa hili wote ni jobless, bro hakuna aliyekuomba humu visent vyako[emoji23] we kama unaona wenzio wanawaza ngono tuu unatafuta nini kwenye uzi huu?
 
Dogo utachangiaje na wakati wewe ushaamua kua mlevi na umeshaukubali umasikini..una mawazo yapi ya kupata labda hata milioni 50 ndani ya masaa 2 ...wewe sehemu yako pendwa ndio hii, ulevi, ngono zembe ..huku unaua maini, huku unaua seli hai nyeupe
Tatizo unaamini kila mtu umemzidi kila mtu ni maskini pole sana [emoji3]

Basi sepa tuachie Uzi wetu sisi tusiokuwa na hela ,madogo kama unavyotuita mbona huo ni ustarabu tu kwa watu waelewa na mnaotengeneza kipato kikubwa kama unavyojimwambafayi hapa au hua hamnaga manners [emoji3]
 
Hapa ndio nimejua una akili.Unaendekeza mihemko
 
Dogo aniita bahati kulala na mzazi wake mana mzazi sio lazima awe amekuzaa
Tatizo lako ni kudandiadandia, nikisema uoneshe niliposema bahati huwezi, nikisema uoneshe wap nimesema ni mama mzazi huwezi pia.

Sasa mama mdogo mtoto wa babu wa babu wa baba yangu anakuwaje mzazi sasa. Tena katoto kabichi kweli na kana miaka 20 tu nashindwale kula tena kamekuja kimasihala? Kwenye Biblia watu wameliwa na baba zao wakazaa na watoto iwe mimi?
[emoji668]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…