Hii inaonyesha shetani yuko kazini kila mahali, si safarini, si nyumbani, si kazini, si mashuleni, si kwa wake za watu, wanaume za watu. Shetani anafanya kazi yake. Ole kwa kizazi hiki. Only the Son of God called Jesus Christ who is able to save us from the lust of the flesh otherwise all will perish in the hell of fire by accepting Devil to use our body to accomplish his mission of destroying human being. Unapofanya uasherati au uzinzi basi unaunganika na shetani moja kwa moja na anaweza kukutumia anavyoweza hata kukuua kabla ya siku zako na kukuletea magonjwa mabaya. Jitahidini kuepukana na uzinzi kwa kumrudia Mungu naye atakuponya. Jitahidini pia kukaa kwenye mazingira ambayo hayana vishawish vya mwili. acha kuangalia movie za ngono na pornography. Mungu awasaidie vijana wetu maana shetani amecreate environments ambazo inakuwa ngumu kushinda kwa vijana wa siku hizi.
 
It happened to me often. I remember she just wanted me to pay her a visit at her place after a long time working in a distant region. Tulisoma wote na hatukua na mahusiano zaidi ya urafiki was chuo na kudiscuss pamoja. She was married at a time We met nyumbani kwake na mumewe alikuwa amesafiri.
Stories huku akiandaa msosi wa jioni nikiwa sitting room nachek TV sikumbuki hata kipindi gani. Baada ya kula na stories Mbili tatu za kukumbushana mambo ya chuo gafla tukajikuta tumeanza stories za mahusiano. At first We never intended to reach where We reached but all over the suddenly We find ourselves in the mood of doing what we did. We got aroused and teased, it was awesome na muda mwingine huwa tukiongea kwenye simu huwa ananiuliza hivi ilikuwaje siku ile, tulianzaje anzaje...?! Wote tunabaki kucheka na kufurahia urafiki wetu hahaha
 
N
Nakubaliana na wewe kuna mazingira,but utakuwa umewahi kumtamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…