Jumapili haiwezi kuwa njema, bila kula tunda kimasihara
 
Bora niwe ovyo tu maana nikiwa smart wake za watu wanakuja kama wote
 
11 casfeta wanaoenda kwenye makongamano ya easter
12 Tycs kwenye easter
13 Wasabato wakiwa kwenye makambi yao
duu wasabato wakiwa kwenye makambi umenikumbusha mbaliii sana kuna watu makambi wameliwa sana pale misufini siku hizi amna hayo mambo watu awakambiki
 
Bodaboda mbona hawapo? Hao walimu wa madrasa watoe au ili kubalance story ongeza wachungaj hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…