alafu kuna kitu ambacho wengi hatufahamu ni kwamba kifo kinakujaga tu bila taarifa.

HII SIO CHAI HII NI CHAPATI YA KUTUTISHA MABAHARIA. KWA VILE UMESHATANGAZA KUWA UNATOA JICHO MABAHARIA BADO WATAKUTIMBIA DM HAPO. AU KIJA NA STORY YA PILI UACHE NAMBA YA SIMU. sijaelewa @rickiboy amepewa ban kwa kosa gani!!!!
ukirudi kutoka ban tunakuja na thread ya MREJESHO: HII THREAD IMEIMPROVE NINI KUPATA MADEMU WAZURI?
HII THREAD MODS WAKIISOMA NAO WANAFURAHI SANA
 

Na huyo mwenzake bado kalala tu wakat wew unapiga hivyo vi3
 
Ngoja nishuke kwenye uber nieleze jinsi fiesta ilivyonipa tunda kimasiala
 
Nilichogundua huu uzi ni wa kufanyia practical,...
 
Sio story nzuri hizi kuvunja viapo vya watu tena walioweka agano na Mungu. Ni laana kubwa kiukweli. Tuwasaidie waishi viapo vyao na si kuvunja.

MKUU MTAWA ANAKUJA KWAKO ANAKUWA AMEKUKAGUA VITU VINGI SANA. USAFI WA ROHO. USAFI WA MWILI. NA AMEKUONA UNA AKILI YA KUWEZA KUHIFADHI SIRI AKE. KAKUCHAGUA WEWE KATI YA WALIO BORA. KWA ROMAN CATHOLIC TUNA UTARATIBU WA KUTUBU HADI WAUAJI WANASAMEHEWA DHAMBI ZAO.
ZAMANI KIPINDI CHA KATI YA 500AD-1500AD KANISA LILIKUWA NA UTARAIBU WA KULIPIA DHAMBI. YAANI UNALIPA DHAMBI ZA MWAKA MZIMA. SO NDANI YA HUO MWAKA UKITENDA DHAMBI UNAMWONA PADRI UNATUBU LIFE LINAENDELEA. MAKAHABA, NA WAFALME, ASSASSIN CREED, KNIGHT OF MALTAS WALIFAIDI SANA HUU UTARATIBU
 
mike2k,
Duh usafi upi wa roho wakati sio mke wako? Unakuwaje msafi wa roho wakati unazini na mke wa Mungu mwenyewe maana kala kiapo na Mungu sio binadamu cha kumtumikia na kujinyima.
 
Hahaha...umenichekesha sana... Mimi mbona hata situmii telegram mkuu...

Huyo Wick ni master mwenzio
Umeamua kumuita Master sasa. Kuna channel ya telegram nilipata link kwenye uzi wa Biashara za Badoo kuna majamaa mawili yanasifiwa kwa kufanya video call na warembo wa mule. Wale ni nyinyi 100%
 
Duh usafi upi wa roho wakati sio mke wako? Unakuwaje msafi wa roho wakati unazini na mke wa Mungu mwenyewe maana kala kiapo na Mungu sio binadamu cha kumtumikia na kujinyima.
MKUU HALI KUHITAJI KUFANYA SEX IPO TU REGARDLESS NI MTAWA AU NI MALAIKA. VIAPO VINAVUNJWA. SUALA HAPA NI ETHICS TU. WHATS WRONG AND WHATS RIGHT NI KWENYE PERSPECTIVES YAKO BINAFSI. LAKINI KUMBUKA MZINZI, MWIZI NA MUUUAJI MOTO NI ULEULE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…