upewe maua yako kaka...πŸ€œπŸ€›
 
share ya watu wengi, Terminal three 😁 😁 😁 😁 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Huu ni uwongo huu,
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimemiss kuwaletea visa vya kimasihara, kimasihara inaweza kua umedhamiria ila ndio kiutani tu ikubali sawa, ikatae sawa sio issue

Sasa hii ilikua Mwanza nakumbuka niko kule kule kikazi nikiwa katika mradi flan ktk wizara flan iliotupa tenda ya kama mwaka iliofanya nipange kabisa karibu na site

Haya kisa kilianzia siku ambayo mwanangu mmoja wa miaka mingi sana ye alikua akiishi mkoa jiran na Mwanza akanipa taarifa mdogoake wa kiume anatakiwa asafiri kwa Bus asubuhi kwenda Moro so inabidi atoke walipo ilikua Geita aje Mwanza alale then alfajiri apande bus za Moro

Haya kwakua jamaa ni mwanangu sana hata ndugu zake wengi nawafaham na nawaona kama ndugu zangu pia nikamwambia tu mwambie tu Dogo aje apite site gheto tuzuge nae then jion ntaingia nae town tufanye fanye fujo atembee mjini Mwanza maana alikua hajawai kufika Mwanza mjini ka mnavyoelewa location ya Mwanza ilivyo kwa anaetokea Dar Moro au kusin kiujumla kuelekea Geita hauwez iona Mwanza mjin unapita labda pemben sana

Basi siku ile ile dogo kafika tu site nikamalizia vimeo vyangu nakumbuka ilikua alhamis tukazuga zuga nikakabidh site then mi na mdogoangu tukavuka maji kuingia Mwanza mjini break ya kwanza nikachukua room mbili maeneo Nyegez ili iwe rahis kuwahi bus asubuhi then nikamkatia ticket nikamwambia sasa dogo tuingie mjini kula tu bata uujue na mji

Nakumbuka mchana flan late noon wazungu wanasema tukaingia Malaika beach pale check chek maji tukanywa kidizyn tukapiga na lunch moja ya maana baadae kidogo tulienda skumbuki wapi ila nyt sasa nakumbuka kipindi hiko Villa Park Mwanza yamoto bado tukaingia Villa Park hio ilikua miaka ya 2015 au 16 hiv

Wazee tukaingia Villa na mdogoangu ye ni cool na msela huwa namkubalig sana huyu dogo na vyombo anapiga heshma anayo smart yan so tulipiga vyombo uku tunachek chek band, nikamwambia ebhana sababu leo unataka kuiona Mwanza hebu tuingie club yan pale pale Villa walikua na club yao indoor hiv kulikua na usiku wa Pwani sijui mwambao yan hio siku zinagongwa taarab tu humo kila alhamisi sasa ka mnavyojua wapenda taarab walivyo aise tulikua kuna mashangazi balaaaaa yan balaaaa waarabu, wapemba, wasomali wabara yan ilikua nyomi flan

Mi na mdogoangu tukaingia tukakaa kwenye sofa flan safi tu na mpunga nilikua nao kimtindo maana nilidhamiria dogo aenjoi

Sasa tumekaa tunagonga bia mi sasa yale mashangaz yakawa tyr yameshanichanga nikamwambia dogo umeona balaa akakubali ghafla nilimuona shangaz mmoja yuko na wenzie wawili

Huyu aunt alikua mrefu kavaa kiheshma ile nguo za pwani ka wanazovaa waimba taarab ila tako mzee ukipima angle tisini unaipata bila shida yyte wazee aunt alikua na tako hasaa na kajaa vilivyo nguo kubwa ila tako unaliona vizuri akanichanganya nikamwambia mdogoangu mi namtaka yule kiumbe

Haya tuko na dogo akauliza tunafanyaje sasa, niliwaza nikamwita muhudumu nikamwambia wapelekee bia mbili mbili wale palee, sikutaka kwenda maana walikua wako peke yao sasa sikujua ka kuna tyta kawaleta au kweli wamejileta wenyewe naogopa ugomvi

Bas muhudumu akawapelekea ila tym ilikua tyr ishaenda na tulitakuwa kurudi Nyegez kupumzika maana kesho dogo inabid asafiri kichwan nawaza namkamataje aunt siwez acha mshepu ule

Huyu aunt pamoja na hio body yake ila sura ilikua kama ya msomali flan nyweli nyingi kabana body kama katuni wa gazeti za sani enzi hizo

Wazee ikabid nimwite muhudum niombe peni na tissue nikaandika namba ya sim nikaibana pamoja na 10k wakati tunatoka sasa na dogo mi nikapita pale pale kwe dance floor wakiwa wanacheza na wenzie wawili wazuri sema walikua kibongo tu hawajanistua nikafanya ka namsalimia kabla hata hajasita kunipa mkono mi nishampa na kumshikisha nae akapoke nikamwambia unacheza vizuri yan hio ni sekunde tatu nne tu uku napita anajibu asante mi nishapita akabak na namba na 10k

Itaendelea...
 

Hii Chai imezidi Tangawizi aiseee duuh
 

Hii sasa imepungua sukari
 

Hii sasa Majani ya chai yamepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…