Usirudie mzee hiyo kesi utafia jela
 
Kichwa cha chini again, vip hapa shety anahusika? Thank God hujamsingizia shety kukupitia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nlijua tu we ni zero brain Kuna kipindi ilikuaj na upepo wa kuwapa pesa mademu, kumbe unanyandua beki tatu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
35 plus umri wako wewe ni mstaafu
 
Wife alijichanganya akaleta dogo kisu ni kawa namvutia pumzi, kabla mipango haijakamilika dogo alizinguana na wife tukamtimua...alivyoondoka nikaja kujua majirani single dadaz flani walikua wanamfundisha anitege hivyo ningeingia tu mtaa mzima ungejuaa.
 
Aisee haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…