Huyo ni mwongo nilimkamata uongo wake!
 
Ndoa ya miaka 35 tuchukulie ulioa ukiwa na 25 inamaanisha una 60 sasa.

Wewe ni libabu la ovyo kabisa. Ulichofanya ni statutory rape. Kulala na binti chini ya umri wa 18.
 
Liongo
 
Sisi watu wazima tujitafakari.

Kwa umri tu unapaswa ujilaumu Sana.

Unamika 35 kwenye ndoa,

Umri wako nikupe ulioa ukiwa na 26+35(ndoa)=61(umri)

Una mtoto amemaliza chuo.
Nitampa umri wake 25 TU.

Huyu mlimzaa mkiwa na.
Mme 27 ndoa ulifunga 34.

61-27


NIDHAMU,HEKMA,BUSARA



Baada ya mke kuondoka hukupaswa hata kurejea nyumbn.

Ungempeleka Kwa majirani akalale,au umuombe jirani alale naye hapohapo nyumbani.

(Sipendi sana watoto wa kike wakisema nataka nipange cchumba changu. Nikosa maana utakuwa uwanja wa ngono).

Sipendi sana mtu mzima akishindwa kujikataza tamaa zake, sometimes watoto wa like wa majirani nawafukuza kwangu) natamani Kila mtu mzima awe faida Kwa jamii. Niliishawahi kuish na Binti wa kazi, Sina hili Wala lile wife amerejea kutoka kwenye shughil zake, na mm naendelea na zangu kumbe Binti amevaa kanga bila hata Pichu. Aliyenistua alikiwa mke wangu. Nikasema tu sijui kinachiendelea mm hata sijamchunguza.

Wife aliwaza NN mimi sijui. Alikaa kama siku 11 tukaamua aondoke.

Nimeishi na mtoto wa kazi wife akiwa kazi mikoa huko, mm na watoto wangu na kijakazi, nilikiwa nakatreat kama mwanangu na makaripio ya kutosha.

Cha ajab hiv karibun Kuna mtotto wakaz ametokea kunisingizia, nampigga kama wanangu Kwa sabab namtaka! Mweeeee! Nikauliza huyu anaota? Akikula kibano na nauli juu kwaoo. Mtaa mzima unajua nakula house girl kumbe mnaokula mpo humu JF.

Roho iliniambia ..."nawewe ungekala kana kusingizia Bure Bure....maanina nakavizia siku nikikaona lkn roho inakataa
 
Kweli jf tumevamiwa na wakora🤣😂
 
Hawa Bk-3 miaka hii wanakuja na ufundi kutoka kwa Maza zao huko [emoji52][emoji58]

Anambiwa akipata gepu apte na faza house. Sasa INAHITAJI umakin sana sana sana yaan wanaume tumezngirwa na mitego sana miaka hii hadi majumbn kwetu
 
Cha ajab siku hizi back3 wanaliwa Sana na bodaboda na mangi dukani.

sisi tusiwaguse lkn ukifuatilia bodaboda wanawala tena humohumo chumbani vyumbàni. Kwenye jumba lako humo.

iwe bandani, chumba Chao au cha watoto.


kwengin wanakaangiwa Hadi ma eggs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…