Nikapnda kitandn nikalal nacho nzungu wa nne mara kikaanza baba nackia baridi nikakaa kimya sikujib kitu....... TATIZO LILIANZIA HAPA NIAMINI MIM ....🤣🤣.. dah staki kutia neno hapo
 
Naomba nikulize swali .... kwani mtu akiajiriwa hawezi fanya biashara?.... pili mtu akiwa na miaka 55 hawezi kuwa na mtoto wa mwaka moja au chini ya hapo? ..... ngoja nikwambie humu ukijaribu kutafta ukweli katika kila jambo utaishiq kukosoa karibu kila post hmu labda nikushauri wew ukikuta stori pitia au la kama huja penda pita 👉👉 wengine tuna penda chai ukizingatia haliya hewa
 
Acknowledge kuwa ni chai hakuna atakayekusumbua. Ila ukidai ni true story tunakuchimba! Usisahau hiyo ndiyo raha yetu
 
Acknowledge kuwa ni chai hakuna atakayekusumbua. Ila ukidai ni true story tunakuchimba! Usisahau hiyo ndiyo raha yetu
Nimegundua kila moja humu ana starehe yake ... wengine sisi tunapenda kusoma tu stori yeyote itakayo tuvutia vitu vya mtandaoni usivhukulie serious sana
 
Unapata faida gani kwa kudanganya? Unatafuta likes & quotes?
 
Samahani lakini sio kwa ubaya, ila kimasihara zote zinazohusisha kumchukua demu bar na pombe zikihusika huwa nahisi wanangu mmechukua mademu wanaojiuza.
 
Yupo hapo tbt alitukosanisha na mpenzi mpk tukaachana ila badae tulielewana, maana alikua anamtoroka anajileta alone.
Akampiga biti asinitafute kabisa ye yuko na mimi sasa uwongo.

Samahani lakini sio kwa ubaya, ila kimasihara zote zinazohusisha kumchukua demu bar na pombe zikihusika huwa nahisi wanangu mmechukua mademu wanaojiuza.
Wale walikua mabinti kabisa familia bora, kusema wajiuze nakataa.
Ilikua friday jioni tu na walikua wanaenda Coco kupunga upepo then kila mmoja aende kwao.
Walikua boarding mahali so kwenye kitimoto nilienda nao mwenyewe.
Wakaonja kidogo tu,
Na hata hizo pombe walikua sio wazoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…