..""siku hizi nimeamua kutafuta hela tuu nizitunze zipumzike, wanawake wanarudisha nyuma mzee, hasa kama hamna makubaliano ya kulipana, one night stand au uchumba. Ukila mwanamke bila makubaliano hayo hapo juu jiandae kuliwa vile vile, ndio maana wakulungwa wanachapa malaya tuu, vyombo classic unalipa service fee mnaachana"""

I like it, i like it again
 
Kuna mwenzako kama ww aliwahi kuonywa mara 3 hakusikia, siku kakutwa na student geto kwake case ikaenda mahakamani , hivi navoongea yupo jela akitumikia kifungo cha miaka 30.
 
Nimesikitika.

Mwanafunzi??? Hahaha kaa nao mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai
 
Upuuzi
 
Upuuzi
 
Moderator nyuzi za kijinga kama hizi zinapromote ubaki kama sifa sio za kuvumilia.
Hata kama ni stori ya uongo.
 
Dunia ni uwanja wa fujo
Hakuna ustaharabu hapa Duniani
Ukifahamu anaye mla mkeo unaweza ukashangaa
Mwanaume Hana class kwenye k
Beki tatu si ndugu yako
Fanya roho inapenda
 
Mkuu acha tukuquote tu, nani achomwe kwa ajili ya dhambi zako[emoji16][emoji16][emoji16]
 
sio poa ulichofanya kuvua condom..... na pia umezingua kula videnti.... acha mkuu ni mbaya sana inaweza kukutokea puani. mzabzab mimi sisupport hili
 
Stori yako hapo juu kama umejichanganya mara daladala mara ndinga basi ili mradi kutuvuruga tu wenye akili
 
Stori yako hapo juu kama umejichanganya mara daladala mara ndinga basi ili mradi kutuvuruga tu wenye akili
Umesoma vizuri, nimekwambia ndinga mshkaji wa karibu kazini alitimka nalo jana usiku kwenda club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…