Dahh, ila huu uzi asee [emoji1787][emoji1787][emoji1787], skuwah kuupitia hapa nimepita baadh ya comments tuu, kuna bwege alipuliza dawa ya mbu kwe chumba cha mtt wa watu ili akambandue tuu, dahh[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]huyu mwamba ni muuwaji kabisa
 
Kwel buana unexpected sex n kama mchepuko tamu kulko ya kawaida yaan.lakn m sjawah hyo ila kwa michepuko tamu buana.
Mmmmmmmmh hii kitu siko nayo na ushaidi lkn haipo sawa maana utapochukulia hasira ndio vile unapata jambo jipya hivyo kua makini
 
Mungu tunaomba utusokie waja wako maana watu badara yakuikimbuza Dunia sasa Dunia ndio inakimbiza watu
 
Cute Wife nimeona kivuli chako humu, uje utupe story yako[emoji23]

Huu uzi niko nao since day one, nachekaga wanavyojisifu tunaunganisha vitano halafu kwa ground vitu viwili tofauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema nimetega nimuone Kantri anavyopiga kimasihara lakini hajai [emoji1787][emoji1787]
 
Huu uzi niko nao since day one, nachekaga wanavyojisifu tunaunganisha vitano halafu kwa ground vitu viwili tofauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema nimetega nimuone Kantri anavyopiga kimasihara lakini hajai [emoji1787][emoji1787]
hii ni sehem ya wanaume kujipa moyo, sema kuna za kweli naamini😂
 
Kazini kumezuka couples kadhaa sasa mkuu akaona hali ile imekithili mpaka ikaathili utendeji wa kazi mule ofisini si akatuitisha kikao ndo akatupa vikaratasi ili tueleze nani anatembea na nani tuviandike then akavikusanya(jamani wake na waume za watu wanaliwa kwa speed sana humu makazini sababu kubwa ni kuchokana,

kugombana alafu sana sana wanaume wanakula sana nje kwa sababu ya magubu ya wake zao) sasa mimi kwenye kile kikaratasi nilitakiwa niandike couple yoyote ila akili zangu za kijinga zikaniambia kwanini uandike wenzio kama vipi jiandike mwenyewe.

Bwana weee si nikajiandika mimi mwenyewe na demu fulani ambae anaonekana yupo serious mule ofisini kwa jina simtaji ili at the end tuungane kushangaana kwa sababu mimi na yeye hatuna mtu ambae tulikuwa tunadate nae.

Bwana wee siku ya kuitwa ghorofani kwa boss tuliitwa wote kujitetee dhidi ya hiyo shutuma ya kuwa tunakulana kmmke demu akawa amepanic mimi nimerelax kwa sababu nilijiandika mimi mwenyewe bila yeye kujua kufika kule mi nikajibu mashudu kuwa boss mimi hizo sinaga labda muulize huyu may be ametembea na mimi ndotoni daa nakuambia tunashuka ghorofani amepanic bado

nikaanza kumbembeleza aisee si nikamuambia kama vipi twenzetu out tukadiscuss shutuma yetu kaileta nani na kwa sababu gani kwa sababu hatuwahi kuwa na ukaribu.

Bwana wee huko out si akajifanya anakunywa Alta wine eti ana stress akalewa ikabidi ni mpeleke kwake kufika kule chumbani kaanza kulalamika sana baadae akanivuta akanikiss mwishowe tukaunganisha vikojoleo ikabidi mimi usiku wa manane nikasepa zangu home coz nimeoa.

Kesho kutwa yake wafanyakazi wakamind kwa nini boss ameandaaa hilo zoezi ambalo linachafua wafanya kazi kwa sababu mtu anaweza andikwa kwa sababu ya chuki na bifu wakatutolea mfano mimi na yule dada kuwa hawa hata ukaribu hawana inakuwaje waandikwe mpaka mdada alipanic kumbe wenzao tulikulana kweli baada ya skendo.
 
Bongo muvi.
 
Kama Kuna mfanya kazi mwenzako humu kashajua tayari

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
 
Chap sana kama marbug? Uza tu mwana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…