na kuna kuvaa then usiiikute๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Firauni unasimulia kabisa kama vile uko proud. Naomba hata hiyo PEP isifanye kazi maana kwa jinsi ulivyochubuka virusi sasa hivi vitakuwa vimejificha kwenye ini vinapeana hi tu na kusherehekea ๐Ÿคธ๐Ÿฟ๐Ÿคธ๐Ÿฟ๐Ÿคธ๐Ÿฟ

Acheni kudhalilisha watoto wa watu jamani. Kwa nini umfire binti wa mwenzio hata kama amekukubalia? Tofauti yenu na mabasha ni nini? Nyinyi ndiyo mnafanya mpaka bandari zetu zinauzwa maana mnaleta laana!

Hovyo kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ