😅😅😅 Piga PEP zako utulie , huwezi kupata kirahirahisi namna hiyo
 
Hivi kama uyu Frida kama yupo umu Jamii forum anajisikiaje?
 
Kalia sana.. nilihisi ananifia lodge.. anasema yeye ajijui na mara ya mwisho kupima mwezi wa 6 Mwaka jana
Basi nyie wote bado ni watoto,JE ulishamwanda kisaikolojia kabla ya kupima endapo mngekuta majibu ni tofauti na mlivyotarajia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…