Sasa ww kwann unaishi kwa shemeji yako na umri huo?

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 

Kunywa maji mengi, fanya mazoezi, hama kwa shemeji.
 
Acha ufala yaani unamzidi shemeji yako umri halafu unakaa kwake?
 
Mbona wanaume wengi huponea kwa Madada wa ndani.
Tafuta hela, acha kuishi kwa sister [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…