Wewe na shemeji yako, ni nani anaishi kwa mwenzie? Hicho chakula ulichokula kukupa nguvu za kutia, alinunia nani? Majibu ya maswali haya ni majibu ya swali lako.
 
Kosa la kwanza,kosa la kiitifaki....

Kuishi kwa shemeji Yako....

Inaonyesha ameku-degrade sana kukuambia "unaingia tu bila kupiga hodi" ....na umemkuta katika mazingira tata.

Amekushusha hadhi kwa kuwa unakula na kulala kwake...

Pili.... mwanaume anaejitambua hawezi kufanya huo ujinga...mf. nikukukute na demu...nikamwambia mkeo!? Ili iweje labda!?

Unataka kuvunja NDOA YENU!...Yes ...nimemaanisha NDOA YENU!....Maana mmeolewa wewe na dadaako!

Chunga sana maana maana akifukuzwa yeye...mmefukuzwa wote!
 
Hayo matusi. Uwe na luga ya kistaaarabu
 
wewe ni Dr au CO?maana madaktari ni watu smart,sio wa kujionyesha wala matangazo,bali kazi zao ndizo zinazowatanga,hata humu wapo wengi lkn huwezi ona wanajitangaza.
Unahisi Kwa nini natakiwa kukujibu? Nikikujibu utaamini?.

Hiyo komenti yenye hizo screenshot, inahusiana vipi na Udaktari au CO ?.


Ukiwa Daktari ni Malaika? Mbona Wana Wakunywa Pombe chakari wanakuja Kazin wamelewa mbaya ?. Kwan Udaktari ndio unawafanya wanywe pombe?.



Kama inshu ni screenshot, mbona kwenye nyuzi za Kunywa Pombe , mnatupia mkiwa na machupa ya pombe ??.

Hivi kumbe Binadamu ni matakoo namna hii!! .


Haya Sasa nakujibu, Mimi Daktari Daraja la Pili, tena Daktari mwenye Kipaji that's why naaminika Mnooo !! Kuhusu kula mbususu nitaendelea kula .

Kama inakuuma Nawewe Kasome PCB, piga One, Kasome Udaktari. Elimu yangu, Maisha yangu, Hela yangu..... Wacha niringe ,msoto wa shule niloula , Mimi ndio naujua

Alaaaah mbuzi wewe !!.
 
Ukimwambia sister anawakula wote watatu bora uuchune
 
Japo upwiru unakaba koo, ila hapo kwa shemeji yako hama. Tafta hata boda boda 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…