Ameanza na dada ako, anakuja kwa mdada wa kazi, akimaliza mwa mdada wa kazi jiandae kutolewa marinda na shemeji ako.
 
Kwa uhalisia ulivyo nyie wote mnamilikiwa na huyo shemeji kuanzia dada yake, beki tatu mpaka wewe mwenyewe.

Shukuru Mungu hajakuomba wewe tako bAdo.
 
Utafukuzwa wewe na dada yako,kwanza unakaaje kwa shemeji wewe boya.
 
Mwanzo nilikuaga naonaga ma MD ni malaika sana kumbe hovyo tu so ata uyo Carlos The Jackal akiwa MD au ata MMED sishangai mimi
Madaktari wengi wako smart,japo wachache wa hovyo pia wapo...medical school hua inamtengeneza mtu kua sio tu daktari bali pia kua kiongozi...maana ya neno doctor kwenye utabibu sio tu ile Medicine aliyosoma,bali ana vitu vingi vya ziada,ndio maana kwenye course nyingine lazima mtu apite masters na PhD ndio anaitwa Dr...sasa ukimuona Dr alafu anaropoka hovyo basi kuna tatizo kubwa lipo...maisha ya medical school yanamfanya mtu kua smart na maamuzi sahihi.
 
Dada yako akiachwa na wewe umachika...maana naona kama mmeolewa wote....
 
Unaweza ukawa mtu wa hovyo ila Mungu kakupa kichwa kizuri cha kukariri madude so ayo gyno pharma surgery yote ukakariri ukapata A plus kila sehem ila ndo ivyo ww ni kitombi na mlevi na mtu wa matusi kama wapuuzi wengine

So mwanadam ni mwanadam tu usitegemee makubwa kwake
 
Oyaaaa wahuni eee nimeachwa tangu mwaka juzi nipo single tuuu nipeni basi namba za wototo ambao bado wabichi tuwatigo nipo apa sweet corner garden pub napiga safari ngumu kumeza nimeona buguruni miyayusho karibuni tandale
Enjoy kijana. Kula maisha!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…