CHAI
 
We ngoja ndoa iharibike utajikuta unaelea hewani, kwa shemeji haupo na kwa dada haupo , tambua upo hapo kwa hisani ya ndoa
 
I feel you bro,unakuta ushalikatia kachumbari toto la kitanga jeupe na linanyama nyama,mwisho shemeji anajiona mwamba,who the fuvk he think he is?Usimwambie dada yako huo ni ushoga,Fanya hivi toa matako hapo home katafute Hela,Huyo beki 3 atakuona wewe tu.
 
Oyaaaa wahuni eee nimeachwa tangu mwaka juzi nipo single tuuu nipeni basi namba za wototo ambao bado wabichi nipo apa sweet corner garden pub napiga safari ngumu kumeza nimeona buguruni miyayusho karibuni tandale
Kuna namba hapa ya mwalimu wa vidudu, vipi nikusogezee?
 
 
huoni ata aibu shemu amekuzid umri alafu unakula kwake,unataka kugombania demu na yey akikutimua utasemaje.
 
Huyu anamlazimisha tu lakini dada wa kazi mimi ananipenda ananikubali sana. Mambo mengine wasichana wanaonewaga tu
Acha ufala nenda uwe na pako ulete dada wa kazi uumpakue, binadamu wengine sijui mnakuwaje huyo tu shemeji yako umemzidi umri na anamisha kuliko mbwa wewe unaesubiri ulambe jasho lake siku atakuja kukula... akuunge na dada yako + dada wa kazi
TOKA KWA SHEMEJI NENDA HATA UKALALE KIJAZI
mshamba_hachekwi linakuhusu
 
hata kwa wazazi sikai
 
Pumbafu nenda kwako Kwa shemeji Yako unafanya Nini au unamsaidia dada Ako kuosha rungu?
 
acha maisha ya kuigiza ishi real, ukishindwa hpo nitafute. umeenda kuazima gari la rafiki yako lanini?
 
Wew jitie kihere here siku dada anafukuzwa hapo na wewe utajua hujui ..... niseme tu ukweli sisi wanaume tunatofautiana sana kwanzia mtazamo mpaka tabia ...... hvi ntanzaje kukaa kwa dada yangu alafu bado niwe na ujasiri wa kumendea beki 3 ......seriously.... pia hii inaonekana kama story ya kutunga mara useme ume mbembeleza mda mrefu mara useme ametoka tanga wiki tu .... huoni kama unatupanga we mke wa 3 mtarajiwa? Punguza wivu
 
Uzi umepoteza mvuto kabisaaa, waandikaji wa essay wanatoa mno chai, wengine wanatuma picha za text anazojitumia mwenyewe.

Wengine ni magay ila wana act ulijari, sijui wanajistukia nn, woiiiiiih, bas tafranii tupuuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vichekesho haswaaa.
 
Nakusalimu rafiki 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…