Lete stori mama lete, stori tamu kama wewe mwenyewe.
 
We acha tu nyuzi kama zile zinaleta stress tu Mara muanze kutukanana, ukitoka hapo hasira zako unazihamishia kwa wasio husika ,,, wakati maisha hayapo serious ki hivyo
Maisha yenyewe mafupi haya ukiwa serious sana unakuwa haufiki mambo mengine unaacha tu yakupite, just play your part kama kwenye movie.
 
We muongo. Form four failure hawezi kuandika hivi
 
Ila unapozoea sana kujifanya mwanamke baadaye unaanza kuwa mwanamke kabisa. Mwandiko unakusaliti sana.
 
Asalaleeee ashadinywa mtu😁😁hofu yangu ni kama mwandishi ni mtunga story.....ila haina shida tuenjoy fasihi, ila kama mwandishi ni mwamba basi ubingwa kitambo ulisha....



Takuja kumalizia kuandika maana hapa kwenye kidala watu wanaangalia natype nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…