Sentence case: Nakumbuka 2015 nimemaliza kidato cha nne, mama yangu akaongea na mama mdogo nikakae kwake Dar huku nikisubiri matokeo. Basi baada ya wiki nikaja Dar, nikapokelewa vizuri tulikua tunaishi Tabata. Hapo nilikuwa na bf angu wa kijijin alikuwa kinyozi wa saluni ndio niliyeanza nae mambo ya mapenzi. Sasa huku kwa mama mdogo niliishi vizur maisha safi nikanenepa na kunawiri, kusema ukweli mm ni mrembo Sana (umbo la kibantu nywele, rangi na sura ya kiarabu) na inasemekana baba yangu ni mwarabu Ila mama alimsingizia mimba kwa step dad hivyo nilipozaliwa ilibid Bibi anichukue, kunilea na mama alirudi kwa step dad wakaendelea na maisha.
Maisha yaliendelea nikawa namsaidia mama mdogo kuuza genge lake na yeye anakaa dukani hivyo nilikua nameet watu mbalimbali na nilikuwa natongozwa sana lakini mama mdogo alikuwa ananisisitiza sana kuhusu kujilinda hivyo sikuingia kwenye mapenzi na yeyote. Baada ya mwezi hivi matokeo yakawa yametoka bahati mbaya sikufaulu nikawa tu home nasikilizia watanisaidia vipi.
Tumeingia mwezi wa pili shemeji yake mama mdogo alikuja kukaa na sisi pale kwani alikuwa anasomea uwakili. Tukawa famili ya watu sita (mm brina, mama mdogo na mume wake, huyo shemeji ( tumuite D) na watoto wawili).
Nakumbuka siku moja tulifunga mapema dukani nikawahi kurudi home nikapike kwani mama mdogo na mumewe walikuwa wanaenda kwenye harusi na watoto wasingeweza kubaki wenyewe kwani D alikua anachelewa kurudi huko chuo sabab wanasomaga hadi usiku.
Basi tumekula na watoto wakaenda kulala mm nikawa namsubiri D arudi ili nikalale, akaja saa4 nakumbuka ilikuwa Jumamosi nikamfungulia nikamuaga kuwa naenda kulala akasema subiria basi nimalize kula akaweka movie nikawa naangalia si usingizi ukanichikua nakuja kushtuka D yupo ananipapasa kifuani niliruka fasta maana nilikuwa na muda mrefu kweli sija do. Ghafla honi hiyo kina mama mdogo wamerudi huyo nikasepa chumbani kulala.
Kesho yake Jumapili nikamuita D nikaongea nae nikamwambia sijapenda ulichokifanya nilimind kweli akasema mara ooh mimi nakupenda fungua moyo wako nikubalie mm nikakataa. Tumeenda baada ya wiki naona D kila akirudi ananiletea zawadi mara anipe pesa mimi nikawa nazitunza tu kwenye mpesa yangu. Alijitahid kunispoil na kunibembeleza sana maana yeye alikuwa ana mshahara pale alikuja tu kuongeza masomo. Mimi nikawa namkazia nahofia mama mdg akijua itakuwa noma.
Ikawa imepita mwezi D ananisumbua tu na hachoki na mimi nilikuwa nasubiria kuenda chuo cha mapishi coz ilikua ianze mwezi wa 6.
Sasa kumbe baba mdgo alikuwa ameshaanza kuhisi D ananitaka akawa anatufatilia. Siku moja wakatoka out yeye baba na mama mdogo na watoto, D aliambiwa aende akagomesha akasema ana kazi za chuo, mm kama kawaida nikabaki dukani. Jioni saa 1 nikafunga nikarud ili nipike. D mara aje jikoni aanze kunibembeleza mara anivute na kunishika dah nikawa nawaza nimekula pesa zake nyingi kwa muda mfupi asa leo nimepatikana. Nilijaribu kujitoa lakin nikashindwa kutokana na D alinizidi nguvu plus nyege πππ
D kanibeba huyo mpaka sebuleni tukawa tupo kwenye romance na ashk ashk hatari na nilikuwa natoa miguno kwa saut ya juu. Kumbe mama mdg aliwah kurud home kuja kupokea mizigo ya dukani kwani ilikuwa iletwe kesho na pesa hakua ameacha wala maagizo yoyote.
Duh alikuja speed na geti lilikua wazi tumerudishia tu mpaka ndani akatufumania katikati ya mechi πππ ilikua patashika nilipigwa makofi D akawa ananitetea mama mdogo akaanza kulia na kumlaumu kwamba ananiharibu wakati tayari yeye ni mme wa mtu nilibaki nimetoa macho sikujua kama D ameoa na sikutaka sana kumchunguza coz sikumpenda and it was unexpected sex.
Baada ya lisaa baba mdgo karudi ulikuwa ugomvi mkubwa na kelele nyingi hadi majirani walikuja ikabidi niingie ndani D akaondoka basi nikajifungia nikalala nikawa nawaza naenda wapi na nimefanya nini ilikuwa aibu nalia tu kwani mama mdogo alikua anampigia simu ndugu zangu mama Bibi akasema ameshindwa kukaa na mm hizo msg nilizokua natumiwa nililia.
Asubuhi ilipofika kila mtu aliondoka bila kunisemesha mm huyo nikapaki nguo zangu chache nikasepa hadi Mbagala kwa shoga angu nilikuwa nimemzoea pale dukani yeye alikuwa anauza pharmacy. Nikamuelezea kila kitu akamwambia usirudi huko kijijini, tulia nikutafutie kazi hata za ndani, nikakubali basi nikawa nasubiria.
Wiki mbili zilipita nikapata kazi ya housegirl huko Masaki. Kuna mama jirani wa shoga angu aliniunganisha. Mshahara ulikuwa 50 nikaenda huko. Aise, kuna watu wana maisha! Yani matajiri haswa, familia ya kichaga, baba, mama, na watoto watatu.
Huyo baba tumuite Baba P na mama P. Watoto wao watatu wote ni wakike. Baba P ni mfanyabiashara mkubwa Kariakoo na mke wake alikuwa ni mhasibu taasisi nzuri tu ya serikali.
Mimi huyo nikaanza kazi, mama P akawa anashangaa binti mrembo kama mm kwanini nafanya kazi za ndani. Mimi kimya na nilivyokua mpole, akaongea na yule mama aliyeniunganishia. Akawa ananihoji kuhusu mimi, akamwelezea tu natokea familia duni na nimefeli kidato cha nne, ndio maana.
Muda wote mm nilikuwa napenda sana kujistiri majuba kwa sana na nilikua sivai nguo za wazi au za kubana.
Niliendelea vizuri na kazi na nikazoeana na familia ile, lakin Baba P mara nyingi alikua akiniangalia kwa kuibia na kwa wasiwasi hata akirudi home mama P hayupo, alikua hakai anaondoka...
Nitaendelea baadaye kusimulia kuhusu Baba P mpaka maisha yangu yamekua bomba!