Ilikua mwaka 2019 kipindi tumepunguzwa kazini niko zangu nimejilaza geto, nikaamua kuingia fb kupoteza muda mishale ya mchana mchana hivi. Basi nikamuona mdada mmoja yuko online alikua mtaani kwetu akaolewa na waliamia huko vikindu na mumewe ni mkaguzi wa mahesabu so huwa anasafiri mara kwa mara.
Bas nikamtext "vp kwema? Wapi iyo?" Bas akajibu nipo hom nimetulia,, nikamuhoji vp familia na mumeo,, akajibu fresh ila yuko na dogo tu jamaa hayupo,, bas tukachati chati pale kisha nikamchomekea kumsifia alaf nikaomba picha zake whatsapp kama hatojali nione kwasasa amependezaje maana huyu dada alikua na shepu balaa mtoto wa kinywakyusa mfupi hivi ana tako la haja
Bila hiyana nikamtumia namba na muda si mrefu akajipiga picha akiwa kitandani amelala amevalia kanga, dah sikuamini kama angetoa ushirikiano kama huo bas nikamsifia kisha nikamwambia "natamani kuwepo pembeni hapo" akacheka kwa vile viemoji kisha akasema karibu,,,, la haulaaa nikauliza nije kweli? Akasema njoo
Sasa akili ikanituma niende kama kupoteza muda tu wala sikutegemea kama nitakula mzigo, bas nikachukua daladala paap mpaka vikindu mishale ya jioni hivi nikafika kule usiku kama saa moja hivi. Nikafika stend pale nikamcheki nae akaja akiwa na mtoto wake mdogo wa mwaka kama na miezi kadhaa hivi,, tukapiga story mbili tatu pale kisha nikamchomekea kua "leo ntalala vikindu" bas akacheka akanambia pale kwake haiwezekani kabisa kuingilika bas nikamwambia ata lodge mi ntalala tu.
Chaajabu nikashangaa akinielekeza mitaa ambayo yeye ajulikani huko ndo nikacheki lodge,, kichwani bado sina majibu kua ntakula mzigo au, na huyu mtoto inakuaje? Bas nikazulula mitaa hiyo nikapata lodge master ilikua 10 tu, na sikulpia adi nijue nalala mwenye au vp kama hatokuja nisepe tu,, bas nikamcheki nikamuelekeza nilipo, kisha nikatulia bar iliyopo nnje ya hiyo lodge. Mishale ya saa tatu kasoro hivi nikiwa na wasi wasi juu ya niondoke au nafanyaje kule huku nikijilaumu kwa kupoteza muda huko, nikaona simu inapigwa ni yy anauliza nilipo kama ni ndani au pale bar bas nikamuelekeza akaja
Huyu bibie alikuja na mtoto wake mdogo, yule mkubwa alinambia yuko kwa bibi yake, sasa kichwani nikiwa na mawazo kuhusu ntakulaje kaja na mtoto hapa, bas nikamchomekea tu "vp ntaweza kumuibia shemeji leo?" Akacheka akanambia nimuelekeze room akamlaze dogo,, dogo alikua ananyonya bado
Bas akazama room mm nikaenda kulipa maana nishapata uwakika, kisha nikaludi pale bar
Baada kama ya nusu saa akanicheki niingie ndani, bas nilijipigia yule dem adi asubui,, bas ikawa ndo kawaida yetu mala kadhaa adi kipindi alipata mimba akaamua kuichomoa isije kua msala. Tulipotezana uwa tunachati tu mala chache fb