sasa ulitaka muda huo wa chat kwa nini….sio sms tu hata MMS ..we unaonekana hata hujui simu zilisambaa lini…..watu 1994 simu zipo nyingi tu watu wanazo ..acha chenga we kula story ..
Kweli mbona me wazazi wameanza kuwa na simu 2002, upo sahihi kabisa
 
Si ungemuoa kabisa duuh vibaya hivyo kaka
 
Mbona I'd hii mimi nina mashaka nayo, huwa nahisi ni kidume. Siamini kuna mwanamke wa kawaida anaweza kujitangazia kuliwa....labda awe punguani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…