Bongo muvi
 
Watu wa jf mna maisha magumu yaliyo jaa gundu sana ndio maana kila kitu kizuri kwenu kinatatizo......na upwuru wenu shenzi nyie
utani tu chief na kama umeshindwa kung'amua jambo kama hili...(your sense of humor) ipo chini sana..
nilikua nakutania ila ngja niwe serious sasaa yan mm niwe na chuki na ww kisa ww kufanya uzinzi are you serious bro?
ninakaribia miaka 30 na sijawah mchukia mtu despite ya wao kunitendea ubaya na kunisengenya..sasa iweje niwe na wivu na mtu ambaye simjui
jifunze kua na hekima kijana.
 
Leo tarehe 19/8, saa 9:21 Usiku nimefika mwisho wa uzi wa Kula Tunda Kimasihara rasmi....Sasa ni muda muafaka namm nianze kutumia mbinu kutafuta kimasihara zang nikianza na binamu..
Me au Ke?
 
We utakuwa ulitanguliza utoto mwingi 😂
 
Akili za kuambiwa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Sorry mzee nimerusha kombora kwa mtu sio. Yaani mm ni kama mrusi kwa sasa tangu nifanyiwe ujinga na vijana wa humu hivyo imepelekea mm kuwa hivyo ila mm kiuhalisia sipo hivyo mazingira ya watu wa humu yamepelekea kuwa hivi so kuna wengine nawalipua kwa ujinga wanao uleta na wengine bahati mbaya kama ww
 
[emoji1787][emoji1787] wewe ulizingua mwenyewe. Nafikiri wakati mwingine utakua makini.
 
Kigoma hipi mkuu? Uvinza,ujiji,kibondo/kasulu
 
Daaaah nimecheka kifala sanaa[emoji23]
 
Kazi nzuri sana
Next time utafanya Kazi nzuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…