Wajua nini mkuu, kuna kipindi nilikutsna na kitoto, mwili mkubwa hivi, nikasema ngoja nione...kalivyosema kana 23yrs nikavuta handbrake...
Hahahah
Nakuelewa saana.
 
Mtu unaenda vip kwa demu kufanya usafi aisee. Ndo maana mnapigiwa maana anakuona hauna msimamo. You're just Mr. Nice guy ngoja Ma Alpha wakusaidie majukumu...nyie ndo mnaona kila dalili za demu kutaka mkuyenge ila bado mnauliza Can i kiss u[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Hakuna polee msiba wa kujitakia
 

[emoji23][emoji23]
 
Ngoja nipite kimya🚶🚶 maana nshakula mtu na dada yake bilabya wao kujuana
 
Nishafanya Ivo kwa mapacha flan iv ila baadae nliona nawakosea ikabidi nivae sura kauzuu na mazoea nikakata...hii ni baada ya kuona nakosa fursa na za kung'oa pisi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…