Nishafanya Ivo kwa mapacha flan iv ila baadae nliona nawakosea ikabidi nivae sura kauzuu na mazoea nikakata...hii ni baada ya kuona nakosa fursa na za kung'oa pisi nyingine
ulikula wote wawili
 
Inatakiwa huu izo uboreshwe mpost na picha [emoji23] tujue kama vita ni vita
Dah unaweza kuharibu furaha ya raia weng sana...mtu unakuta picha ya dem wako humu et aliliwa kimasihara
 
Nmekumbuka nlimtongoza mmakonde mmoja akanikatalia alikua mkubwa kwangu.basi bwana me nkawa nmempotezea kiaina japo nlikua nazuga tu.one day naperuzi fb nkamuona nikaomba frnd req akaitika nkasema moyoni mpangaji mwenzangu umekwisha nkaanza mchatisha messenger anarespond nkasema yes nkijaribu kuingiza gia ya mapenzi anachomoa.siku ktk kuchat akaniambia piga picha dushe lako ntumie mwamba nkalipiga nkalituma so halina sura yangu shida nn.bwanaaee akalipokea akalitizamaa akalimezea mate hakunijibu kitu nkampotezeaa kbs hata tukipishana kwenye kolido no salaam mm mbele.
Siku moja sasa nmekaa maeneo nakunywa chingili nko off work muda Kama ya saa tatu usiku napokea simu kucheki jina yeye nkapokea.hello yo majesty king wapi hiyo.nkajibu nko maeneo.akasema kuja nyumbani Mara moja.nkasema hii itakua fursa.nkasepa mapaka magetoni kwake nkatia kwenzi mlango akafungua nkazama ndani nkajibwaga kwenye sofa so unajua uswazi room moja kunakuaga na kasofa ka mtu mbili.kufupisha alinipakulia msosi nkala baada ya kula hatujaongea zaidi naona mtu anenda kufunga mlango na akarudi akatandika kitanda akazima taa tukazama ktandani kilichofuata pigia niliwasha Moto mpaka shanga akaona nzito ikabidi aweke pembeni.baada ya hapo akawa mtu wangu mpaka tukahama tukaenda share one room Kama mke na mme but after a year we break up chanzo n mm baada ya kuona nlikurupuka kuanza maisha na shangazi yangu so unajua utoto plus kupewa utamu wa kusini.
Bana eeh msinichoshe makosa kwenye nyuzi mtarekebisha wenyewe msijudge wengne as ni wanafunzi wa upe
 
Mwanzon walinichezea mchezo nikawa nakula wote bila kujuana Kwan walikuwa wanafanana Kila kitu..ila nlipokuja kubaini nikamuengua mmoja kiana
wote walikua na ladha sawa au utamu tofauti
 
[emoji16][emoji16][emoji16] umenichekesha sana mkuu.Kwahiyo kwasasa hampo pamoja
 
Nnavyokuambia wanafanana Kila kitu namaanisha aysee..hata miguno uwanjani ni sawa sawia
ulipata bahati sana mkuu kula mapacha kwa mpigo hiyo hutokea 1 in a Million chance
 
ulipata bahati sana mkuu kula mapacha kwa mpigo hiyo hutokea 1 in a Million chance
Aah..walikuwa wamenizoea hadi geto wanakuja wanapika wote..ila u fisi wangu wa kuangaika na pisi nyingine ilibid niziweke pending kwanza due ukizingatia zilikuwa zinasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…