841 sio 842
 
842kj ni Mlale-Ruvuma Boss! Sio Mafinga
 
Wajane nao ni watu na wanahitaji tulizo la moyo baada ya kupoteza wawapendao .Huwezi amini huyu mzazi mwenzangu nimempa tulizo la akili hana mambo mengi
Aisee umenikumbusha mbali sana. Kuna dada mmoja mwaka 2016 nilifahamiana naye kwa kipindi kile alikuwa around 32yrs na alikuwa tayari mjane ameachiwa watoto wa 3.. Kuna sehemu moja mitaa ya Keko alikuwa anafanya kazi ndipo nilienda kufanya kazi fulani nikamkuta alikuwa na uzuri wa kawaida but shape matata sana. Tulipeana namba kama kawaida.
Siku moja nampigia tuonane akakubali nikampeleka chimbo moja ambalo kuna bar na room za kutosha. Tulipiga story kuanzia saa 8 mchana hadi 12 jioni ndio nikajua Mr wake alitangulia mbele ya haki. Akanionyesha picha zake, kaburi, [emoji24] jinsi jamaa alivyopata ajali ya gari (picha) nk.. but story zikaendelea sana. Kwa jinsi alivyokuwa nilisimamisha mwanzo mwisho ikafika point gololi zikaanza kuuma vibaya na the only solution ni kuomba mzigo.
Nikamwambia naomba nikachukue room akakataa basi nikamwambia ngoja nikachukue tu nipumzike wee utaenda home [emoji1] akasema sawa.
Nikachukua room nayeye akiwa bado hapo na nikaenda zangu. Akanipigia simu upo room namba ngapi nikamtajia akaja (Hii mbinu haijawahi kufeli hata siku moja)
Nilipiga mashine siku ile sitosahau aisee. Nilikuja kurudia mara 2 nikakimbia maana jukumu lote la kulea watoto likitakiwa liwe langu. Simu za mahitaji haziishi mara mchele, unga, bill nk. Uzuri jamaa kabla hajaondoka alikuwa ana nyumba tayari ndio ulikuwa msaada mkubwa.
 
Kwahyo ndugu yangu we kazi yako ni kulea wajane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…