Kipindi tunamaliza form 4 miaka 10 imepita now. Kuna dada mmoja mzuri tuu tulikua tunamaliza nae form four.. Tunasubiri matokeo. Ile shule yetu ni ya kata na ni day, so wanafunzi wengi ni wakazi wa around hiyo shule. Wachache sana walikua wanatoka mbali so wakawa wamepanga room mitaa hiyo.

Sasa huyo demu bwana akaja home geto bila taarifa. Nikala tunda kimasihara. Baada ya siku mbili nikamkuta wanatembea na mshkaji fulan nae tumemaliza nae form 4. Wametoka km uelekeo wa kwao yule jamaa. Nkajua labda wamekutana tuu... Tena muda si mrefu nkamuona anatoka geto kwa mchiz mwingine classmate.. Duuh sikuelewa. Siku tunekutana na washkaji kitaa tulosoma nae ktk story za boys talk, nkaja kujua Kumbe yule demu ameliwa na kila mtu. alikua anafanya anaenda kwa kila classmet kitu km kuacha ukumbusho hv. Ni machiz wachache saana hawakumla yule demu ndani ya miezi ile mitatu ya kusubiri kwenda advance. Ameliwa sana bila hata kutongozwa.. Ilikua ni suala la anakuja leo kwako kazi yako ni kujiongeza tuu.

Fast forward tumekua wakubwa tuko dar. Na yy kaolewa yuko kimara. Watu wote wa kutoka kijijini kwetu ni ww tuu kuamua kumla. Kikubwa uwe na hela then kiwanja cha mbali. Analiwa saana.
 
Npe namba yke kwa pm mkuu
 
Mtoto WA form four si bado mdogo saana??

Dah
 
Nina PEP ntatumia

Sawa wakati Vijana wa rika Kama uliozaliwa nao wakihangaika kujibana kusonga mbele kimaendeleo wengine wanawaza uzinzi wakizeeka wanaamini utajiri ni lazima uwe mchawi kazi kuwaita watu kiongozi,mheshimiwa
Wazinzi wakipata ukimwi wanaamini uliletwa na wazungu [emoji3][emoji3][emoji3] wanaanza kulaumu serikari kuwa haiwajari sasa kosa liko wapi?
Kijana jari sana afya,afya Ndio mtaji wa yote duniani
 
mmeunganishwa na gridi ya taifa
 
Life lipo complicated sana mkuu yani unaweza ukatulia kama ulivyotulia wewe alafu ngoma ukaletewa na wife bila kujua si unaona wahuni umu ndani wanavyotafuna wake zetu wakati tupo bize kusaka utajiri
 
Naomba namba yake kama hutojali
 
Mmmnh mbona kama Kijiji hicho kinaanzia na herufi I halafu huyo mtu anaitwa N??? [emoji23][emoji23]
 
Huyo alikua mama huruma mpka leo kabaki na kipaji chake cha mama huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…