Yeah nakubali k nazo zipo zenye sura mbaya na zipo nzuri za kupendeza[emoji3059]
 
[emoji1787]
 
Mkuu nisaidie namba yake hiyo WA tanga Nina dhalula
 
Daaah me mbish ila we ni kamanda aisee mpaka mpini umesimama….
 
tangawiz tena kwanza mi wewe unanijua? Au umeona tangawiz baada ya kutaja wahusika hapo juu!! Hahaha aisee wabongo salute,, oya bro tukiacha yote mi ni artst so isikuumize kichwa kunijua
Acha ujinga nani anataka kukujua wewe
 
Sasa wengnne usipowashobokea mpm ukiremba utajikuta ushachelewa

"Ukisubir embe liive, wenzio twala na chumvi"
Uko sahihi kaka lakini ujue ni approach ipi inawork best.

Ukianza vishobo shobo ndio anaanza na mizinga hapohapo sianajua unachotaka.
Ni sawa na machinga akikufata mwenyewe bei asilimia kubwa unaweza mshusha, ila ukimfata hata akikupiga ni sawa sababu umeonesha shida
 
Nakubali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…