Acha watu wale kimasihara hicho ki health centre utapata wapi wateja?
Wakuu kuleni tunda peku, maisha yetu yanaendeshwa na ninyi kuumwa sasa mkiwa wazima tutakufa na njaa.
Umeona eeh.... hahahaha niliwahi fanyia maabara Tandale na Tandika Gonnorhea na syphilis ilikuwa ina react kama mvua..
 
Ulisema Mungu akurehemu means unataka akupeleke kuzimu

Muache kutumia maneno kama amjui maana yake

Ndio maana mtu akifa tunasema

Allahu mafirrahu warhamahu waskana WA fii Janna
Wewe ndio hujui sasa. Kiarabu umesoma soma wapi?
Mungu anirehem, maana yake unaomba Mungu akupe rehema zake. Rehema ni grace of God. Kuomba rehema ukiwa ni kwa wote waliokufa na walio hai........"dah nimefika hapa kwa Rehma zake Mungu tu" Kurehemewa ni zaidi ya kusamehewa. Unapata huruma za Mungu.
Mwamba hajakosea.
 
Ulisema Mungu akurehemu means unataka akupeleke kuzimu

Muache kutumia maneno kama amjui maana yake

Ndio maana mtu akifa tunasema

Allahu mafirrahu warhamahu waskana WA fii Janna
Dah we jamaa bwana eti akurehem akupeleke kuzimu?
 
Wewe ni mazabzab lugha ni moja hakuna kwa dimension nyengine

Unapokosolewa unabidi ukubali mpumbavu mmja wewe

[emoji1787][emoji1787]Watoto wa Zama hiz shida
Acha kumtukana mwenzio wakati we ndio unapuyanga.
Mungu AKUREHEMU na wewe pia.
rehemu.....asili ya neno ni (رحم)Rahma. Neno limetoholewa toka Kiarabu yaani Rahma......rahma ni COMPASSION, FORGIVENESS, MERCY, GRACE n.k
Umesema mtu akifa tunasema ALLAHUMMA GHFIRLAHU WARAHMAHU WASKANAHU FIL JANNA.......Mwenyezimungu Amsamehe na Amrehemu na Amuweke Pepono
Neno letu hapo ni hilo Wa rahmahu.....kwa wasiojuwa Kiarabu hu hapo ni kiambishi cha nafsi yaani mlengwa wetu ni mwanaume. WA ni kiunganishi tu maana yake NA.....rahma ndio neno lilelile.
Sasa kuna tatizo gani mtu kujiombea Rahma? Sasa huwezi kusema Mungu anipe Rehema ila unasema Mungu anirehemu....
I come in peace.
Sorry wadau kwenye uzi wa kimasihara tunatoka nje ya mada.
 
Huyu mtoto nilikuja kukatomba tena nikiwa Mwanza aise.
 
Viwili tu??.Umetuabisha sisi Malegend.
Hiyo jumapili nilikutana na dogo wa field wa udom usiku mzima. Nilimtia bao tano huwezi amini coz kalikuwa akarangi alafu katoto ka chuo. Siku iliyofata ndo nilianza safari ndo nikakutana na haka ka binti ka kihaya ndo maana nilikatia kidogo tu. But nilikuja kukutana nako tena mwanza na nikatia kisawasawa.
 
Kwahiyo unataka kusema magari yanayotoka Dar kwenda Bukoba kahama yanafika saa 7???
Niianda gari bovu haswa. Tulifika bahi tukasimama karibu lisaa. Tukafika ten amanyoni gari ikasimama tena.
 
Daaah we ni mkemia OG izo chafya zinakusanua hapo TANESCO imepita
 
Mkuu nimesoma na nakijua kiarabu nje ndani huniambii chchote kuhusu hiyo lugha

Ila angalia sentence yake huyo apo awali alafu uniambie kama yupo right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…