Uongo
 
Hii tume kataa
 
Mzee hii sio kimasihara ni ubakaji maana umemlewesha Binti Tena kwa kumlazimisha then ndo umemuingilia
 

Chai umeweka sukari nyingi sanaa!
 
We unajuaje kama ni usalama???
 
Chai
 
Sina uhakika kama kuna usalama wa aina hiyo.
 
Naheshimu mawazo ya kila mtu.
Msingi wa wa bandiko la "ushawahi kula tunda kimasihara " ilikuwa ni confession.
Ushajiuliza kwanini siku hizi visa vimepungua na badala yake kumekuwa na majadiliano nje ya visa vya masihara?.UJUAJI.
Unapata wapi msingi wa kuhitimisha simulizi ya mwenzio kuwa "UONGO"
Kuna lugha kama CHAI,UONGO NA KEJELI zingine hakika zinakatisha tamaa kwa wasimuliaji.
Starabika tu.soma kama hupendezwi na simulizi ya mtu pita mbali.hata speed ya uzi imeshuka sana,kuna watu hawapendi mabishano na badala yake wanakaa pembeni.acha kuterm kazi ya mtu chai au uongo.

N:B kitu ambacho hujawahi kukiona au kukisikia haimaanishi hakipo
 
hata hii ni chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…