Nina miaka 27

Kwa miaka 10 tokea mwaka 2014 nilivyokua form 4 nimeshatembea na wanawake wapatao 69 ninaowakumbuka mimi
Nimekaa leo na daftari na kalamu nikaanza kuorodhesha wote ninaowakumbuka mimi.Hao 69 ni wale ninaowakumbuka mimi hivi leo

Mambo mengi sana yanatokea kwenye maisha hadi unakua na orodha
 
Shetani anakuweka kwenye Target muda si mrefu
 
Kwa hali ya sasa kati ya hao 69 39 ni waathirika
 
Ushe, upatiei?
 
Umegundua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…