Hahahaha duh

Miaka kumi ni mingi saaana.
 
Wake za watu wanagongwa sana. Yaan wepesi mno.
 
Saafi shida ya hao akikupenda ana kupa na mpelelezi wa kukufatilia
 
Code nyepesi sana hii kwa sisi wapiga mishe hapa Mbeya Mjini. Hutu Masai ni single mama mmoja anauza soko la SIDO hapa Kabwe. πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
Haya ndo mambo tusiyoyataka. We kama umeelewa code kausha. Sio sudoku hii kuwa uki crack code umeshinda. Kama mwamba wa hiyo manzi ikielewa code ikajua manzi yake imeliwa kimasihara hiyo ni juu yake yeye na manzi wake ila mabaharia tunakausha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…