Ungeoa manzi wa hiyo story namba 1
 
Inawezekana
 
Mambo ya certificate of cooking and husband management pale MbeyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hongera msomi wa familia ngazi ya certificateπŸ˜€
 
Miaka kadhaa iliyopita nikiwa kwenye ndege za Kampuni fulani (Sitaitaja jina kwasababu maalumu) nilitokea kumuelewa muhudumu mmoja kati ya wahudumu 4 waliokuwa mule ndani (Air hostess) aliyekuwa akitoa maelezo kabla ndege haijaanza kupaa.

Baada ya ndege kuruka na kukaa sawa, wahudumu wakaanza kutoa huduma ya vinywaji na bites, miongoni ya waliokuwa wakihudumia alikuwa na yule Bibie.

Siku hiyo sikukaa seat ya dirishani, kwahiyo zile movement zake zote nilikuwa nazifuatilia.

Alipofika kwenye seat yangu wakati anagawa vinywaji, nikamwambia naomba maji na Korosho, ila nikamtania, "kama utaridhia naomba Korosho pakti mbili maana nina kazi ninapoenda.."

Akacheka na kunisemesha unataka ukaue nini mtoto wa watu....

Baada ya lile zoezi kukamilika na watu kuendelea kufurahia vinywaji vyao, akili ikanambia hatuna muda mrefu ndege itaenda kutua, na nilikuwa natamani kupata namba ya yule muhudumu.

Nikamwangalia nikagundua yupo kule nyuma karibu na maliwato, ila alikaa na mwenzake wanapiga piga soga.

Nikalazimika kwenda maliwato ili nione kama nitabahatika kuomba namba yake ya simu.

Kukaribia pale, akaanza kutabasamu kisha akasema nikuongeze Korosho nyingine ili ukaue vizuri huko unapokwenda...nikacheka kisha nikamwambia hizo nguvu nazitoa wapi Kwa hizi stress za maisha tulizonazo si unajua January inakaribia.

Akacheka pale, me nikaingia washroom baada ya sekunde kadhaa nikatoka, nikamkuta pale pale amesimama.

Nikamwambia Kwa kumtania, naomba mawasiliano yako kama hautajali, nitapenda uwe Wakili wangu nikienda kuua huko napokwenda, maana wewe ndiyo umenipa vitendea kazi

Akacheka pale ila hakunipa namba, akasema yeye hana taaluma ya Sheria

Basi nikatembea zangu hadi kwenye seat yangu huku najilaumu kukosa namba ya yule binti.

Baada ya dakika 5 hivi akapita akaenda kule mbele Kwa Marubani, nimekaa zangu pale kiunyonge nikiwa nimejiinamia, ghafla nikamwona amekuja hadi pale nilipokaa akajifanya anafungua kabati la kuwekea mizigo pale juu na Kufunga, kisha akaniwekea ki-memo cha karatasi kikiwa na namba yake na Jina.

Kwa kuwa muda huo simu nilikuwa nimezima, huwa nazima simu kwasababu za kiusalama hivyo nikafungua wallet yangu na kukitunza kile ki-memo.

Tulipofika mwisho wa safari, kitu cha kwanza niliwasha simu na kuisevu ile namba.

Nikaingia kwenye website yao na kuangalia ratiba ya ndege kusafiri Siku hiyo, nikaona ndege yao ingesafiri kesho yake, hivyo nikajihakikishia kwamba nayeye angekuwa pale pale town Kwa maana analala kusubiri wasafiri kesho yake.

Nilimpigia simu mara moja, ikaita hadi kukatika pasipokupokelewa. Baada ya dakika 3 hivi nikamtumia Ujumbe "Nimehairisha zoezi la kuua baada ya wewe kunikatalia kuwa Wakili wangu"

Nikasubiri, baada ya nusu saa hivi nikakuta ananipigia.

Tukaongea pale, nikamtania tania ili ajisikie huru kunizoea. Kifupi nikamwomba tuonane, nikampiga sound kwamba nikishindwa kuonana naye leo kesho naelekea maporini huko Kazini , kwahiyo tusingepata nafasi ya kuonana tena karibuni.

Siku hiyo bahati ilikuwa kwangu, nashukuru alinielewa akasema nimpe muda ajiandae.

Kuifupisha hii hadithi ndefu, nilifanikiwa Kulala naye. Kwa kuwa ilikuwa ndiyo mara ya kwanza nilijitahidi kumfanya asijutie kunikubalia Kulala naye

Kazi nilifanya, shukrani Kwa Ac za mule hotelini vinginevyo hali ya mashuka na kulowana Jasho isinge-epukika.

Kesho yake saa 10 alfajiri nikatupia cha morning glory, baada ya hapo akaenda kuoga Bafuni wakati huo nilikuwa naitisha Uber kwaajili ya kumpeleka alipofikia na wenzake ili ajiandae kwenda Kazini.

Maana alisema ndege yao ingeondoka saa 12:30 asubuhi.

Yule binti hakuwa mtundu Kwa bed, ila alikuwa anafundishika na kutii maelezo. Alikuwa na maumbile ya wastani ila nyama nyama za kutosha

Hatukuweza kudumu kwasababu alishindwa kujizuia hisia zake.

Ukishakuwa una-date na mtu ambaye anafahamu fika status yako lakini hadi saa 6 usiku anakupigia simu, huyo hafai.

Bora tumezeeka sasa πŸ€—
 
Safi Sana mkuu.
 
No kuzeeka sio Bora ni vile tu muda haurudi nyuma, naamini mpaka leo bado Kuna Vimeo vingi viko pending na Kama unapata nafasi bado ungetamani uvipitie.
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…