Kuna Kipindi Wife Alileta Za Kuleta Shenzi Nikamrudisha Kwao Akili Zimkae. Kuna Mpangaji wangu sister mdogo tu umri wa kukadiria 22 ana mtoto mmoja wa kiume sasa aliniletea kodi nikampa mkataba mpya kichwani moja haikai mbili haikai huyu dogo nikama alinielewaga since then sema hakuwahi kuniambia chochote huwa nampiga sana tafu ndio alikuwa anaanza maisha in short ile kodi ilinunulia pombe tumekuja kushtuka tumechoka mbaya.Sikuwahi kuendelea nae ilikuwa one match show sababu wife alirudi nikaona mbali kuchanganya magari.The End!
 
Hahaha vipi ulifanikiwa kumweka?
 
Chai
 
Huyo sio mama ako mzaz kasoro ajakuzaa tu
 

Kibamia kimekua??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…