Kitambo sijaleta kimasihara hapa jukwaani
Mwezi wa 10 tarehe 22 nilikutana msichana ambae alinikataa last year pale mwenge mataa navuka barabara nakuja huku sheli ya PUMA nichukue gari za kuja bunju (dsm)

Alivyoniona alistuka na alionesha nia ya kutaka kuongea na mimi ikabid niwe na subira akaja baada ya salam neno lililofata nimepoteza namba yako

Sina tena namba nikazma mfukoni nikachomoa iphone 15 mpyaa ina siku 5 tu..

Aliniangalia wee akaandika nmba nikasave nikamtxt pale pale nikasepa mwanaume
After 3 days akaanzisha conversation
Maelezo mengi hapo kati kati tukapanga ratiba ya kumeet nikamvuta kibo complex tegeta pale juu floor ya 3 kuna bonge la mgahawa akaja na boda boda(bolt)

After a long stor description za mm na yeye uku tukitazama mpira epl mwafaka ilikuwa nmrudishe kwao mbezi kwa msuguli huko morogoro road, u know what??

Pale restaurant tulikula vzuri bill ikaja nika clear kiufupi ni mtoto wa kimeru pisi kweli kweli sio mchezo Ana haki ya kulinga nyau
Nikaita bolt sasa nilileta umafia ambao hata yeye akutegemea kabsaa yani

Tumechukua bolt ad goba hapo mitaa hyo nikamwambia boda simama naenda kwa wakala kutoa ela nikaja nikamlipa boda pesa yake safari nikaiua hapo kijasusi tu

Hapo kuna chimbo moja linaitwa barcelona ni kama min hotel flani hv kali kinyamaa hapo ndichi tulizama bila yeye kujua tunaenda wapi sasa kituko kilikuwa hv tumezama room bado sijalipa dada wa mapokezi ameishiwa kondom
 
Hiyo kweli ilikuwa masihara
 
Malizia stori we dogo
 
DALALI KAUTAKA
mwaka 2021 ktk harakat za kusaka chumba mkoa x nikakutanishwa na dada mmoja dalali ambae alitakiwa aniunganishe na mwenye nyumba mmoja ambae alikuwa na ukaribu nae , so ili kufanikisha jambo langu ikabid nianze ku get along nq huyo dada dalali. siku hyo namchek tuonane akaja akapoa ndan ya gari huku tunaongea masuala ya nyumba mpaka tukaelewana tukaachana,sasa kadri muda ulivyozid kwenda mazoea yakazid ikawa ni chatting kila mara huku na kule bi dada by then alikuwa na upwiru wa kutosha siku namwambia twende lupaso(guest) wala hakuvunga , alichezea mbili saaafi kama utopolo walivyochezea kwa Al Hilal vile ,toka hapo zinapigwa mechi za kirafiki hapa na pale kila tukikumbukana japo ana mumewe sogea tukae.

N:B moja ya kitu kilichomvuruga huyu bi dada mpaka kuliwa kimasihara ni gari according to my observation so guys tembea na funguo za gari lako inavutia fursa mbalimbali.
 
Joannah hivi huyu ndio shem uliyesema unampenda huwezi kuishi bila yeye?? 😹😹

Yupo kutoa ushuhuda huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…