Hivi hiki ndio kile kisa hakikumalizikaga sio ?
 
Apa tumepigwa 😆
 
Kwa mujibu wa katiba ya wanaume 24/25 ulitakiwa kufunguliwa kesi, tulisema tucheze na timu za daraja 2
 
Mwaka flani katika pitapita zangu mtandaoni niliwahi opoa mwanamke mmoja ambae kipindi hiko alikua yupo mkoa na mimi nipo mkoa mwingine kwahiyo tukawa na long distance relationship ingawa alinambia baada ya miezi kadhaa atakuja mkoa nilipo.

Kwakua sikumuambia kwamba nina mke basi yule manzi akawa anataka kujihakikishia mazima kwamba namuoa, alikua anapenda sana nichati nae na kwa siku tulikua tunawasiliana asubuhi mchana na jioni ili jioni ndo tulikua tunachati sana mana anajua muda huo nakua nimeshatoka kazini.

Nilikua napata wakati mgumu kuchati nae nikiwa nyumbani mana nachati kwa kujifichaficha ili wife asishtukie mchezo, nakumbuka siku moja nilichati nae sasa wakati anaingia kulala akanambia basi mimi nikamtakia usiku mwema huku kimoyomoyo nikisema afadhali ulale nami nipumue.

Sasa wakati namjibu sms yake ya usiku mwema akanambia nipigie tuongee kidogo kisha ndo nilale doooh nikasema balaa gani hili sasa na mzee mzima nipo ndani ya taulo.Nilitoka nje ya nyumba nikampia tukawa tunaongea mara baada ya dakika kama tano wife ukiona kimya akatoka mlangoni na kuniita we baba flani doooh nikasema hapa ni kuzima tu simu kabla mambo hayajaharibika.

Nilizima simu nikasema siwashi tena hadi asubuhi kisha nikarudi ndani nikalala. Asubuhi kulivyokucha nikakuta sms nyingi sana za ule mchepuko unalalamika kwamba niko na mwanamke ikabidi nimepiga nimwambie simu ilizima chaji ghafla ndomana ukaona ghafla sipatikani.

Kuna siku nilikua natoka kazini usiku mida ya saa tano mana niliingia shift ya jioni yuke mchepuko nikamwambia me ndo natoka kazini akanambia sawa ila ukifika nyumbani kabisa tena chumbani nipigie, mimi nilikua nishajua lengo lake kwamba anataka tu afanye upelelezi kama nitaweza mpigia nikiwa chumbani aul nikasema huyu hanijui vizuri kwamba alipolala yeye mimi nishaaamka kitaaambo.

Nilivyofika nyumbani nikajibanza sehemu flani kwenye utulivu nikampigia mana muda huo watu walikua wamelala, nilivyompigia akaniulizia umeshafika chumbani nikamwambia yeah nipo chumbani hapa nimechoka sana akawa ameridhika mana ili tu ni voice call sio video call.

Nilikaa nikafikiri nikasema huyu manzi asijeshtukia mchezo kabla sijamtafuna.Nilikua na ka akiba kangu flani nikaona nimpandie huko huko mkoa kwenda kumtafuna na kweli nilifanikiwa kwa hilo ingawa baadae nilikuja tu kumwambia ukweli kwamba i have a family, alisikitika sana ila sikua na jinsi nikaona bora nimueleze wakati bado mapema.

Kwakua nilikua sina tena chakupoteza nikamwambia are you willing kuendelea na mimi pamoja na situation niloyokueleza akasema sawa hamna shida, tulidumu kama miaka 5 kisha nikaona tu siwezi kumuoa bora niwaachie waoaji kuliko nipoteze zaidi muda wake

Ukiwa umeoa inahitaji kutumia akili nyingi sana ili kuchepuka mana kama sio mjanja unakamatwa mchana kweupeeee

Nimeona nisheee na nyinyi true story of my life with the side chick.

Je wewe ushawahi kukutana na kisanga gani ukiwa na mchepuko iwe umeoa au hujaoa ?
 
S
Simple way ni kuwa na anayejua una familia. Hapo yeye mwenyewe atajiwekea mipaka.
 
Mimi nikashotoa mahali tu, mwanamke hawezi kuweka lockup ya kuaacha kutogoza wengine. Mimi huwa napata mchepuko lazima na mke wangu ajue, maisha ni wewe mwenyewe
Kwamba lazima umtambulishe mke wako mchepuko au kwamba anajua kuwa una mchepuko na hajali? Sijaelewa.
 
Aloh so miaka mitano mzeyea unajilia mema ya nchi. Safi sana. Hawa wanawake wetu bwana tuwagegede. Hapana kuleta uvivu kwenye suala la mbususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…