Udom hiyo ukakutana na jamaa anapiga skul cbe au st john

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lofa tu, sema kabisa ulikuwa fala[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaaaah! tamu kama sukari hii paragraph yako bidada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kwangu naweza sema mm ndio nililiwa kimasihara na huyu manzi.
Iko hivi.

Back in days hukoo nyuma 2013 chuo maarufu hapo posta dar nilisoma na sister mmoja hiv, mtoto wa kichaga lakin kazaliwa na kukuliwa mwanza.Mama yake ni muhaya.

Huyu sister sio siri nilitokea kumuelewa toka miaka 2 nyuma siku ya kwanza anafanya presentation class ila kwakua mm ni mtu flan mgumu toka uboizin hukoo high scul nikampotezea na ikawa rahis tu.Hii ilikua first year.hatukuwah kuwa na uhusiano hata wa nbaki yan .Yan hata ile ya kusalimia na hata kuonana ilikua nadra sana cz mm nilikua mtoro sana chuoni.

Mungu si athuman, mwaka wa tatu,2 years later sijui ilikuaje ,ikatokea tumepangwa group moja ya assignment.Kwa asil mm ni muongeaji sana nikiwa na wana na watu nilowazoea, nje ya hapo huwa nakua mkimya sana.So hata kwenye grp nilikua mkimya sana.Sikua na jipya.Washkaji tuliokua nao wakawa wanakula misifa kwel yan kwenye mijadala mm kilaza flan ndio nakua natumwa ku print au ku burn Cd na kukusanya assignment.kwakua napenda privacy sikua naona tabu.

Hapa pia huyu sister kumbuka bado sikua nimezoeana nae.ila Atleast alini recognize na japo kunijua.Alikua mzuri kwakwel japo sio sanaaaa ila analipa.shepu ipo sura aah inaridhisha pia smart kichwan.na katika kunitambua huku japo kwa uchache akajua nina weza nn ,masomo gani yan.

Kwa coarse za IT/computer science wazoefu watakua wanajua,ile kitu ya mwaka wa mwisho tunaita final year project.Tunakaribia kumaliza chuo, watu project za programming zimewagomea mambo yamebuma.Mmoja wapo alikua huyo sister.Kipind hiki nilikua nishamaliza project yangu nikawa napiga sana hela kwa kushinda pale chuo cha DIT nafanyia watu project zao za namna hii.
Basi bwana habar zikamfikia bibie, kumbe na yy mambo yake yamemuwia vigumu.
Bila hiyana nikamfanyia bila kutaka chochote bt as a frnd.

Hii ikatengeneza ukaribu kidogo.Rasmi nikapewa namba ya cm.Baada ya kumaliza na kufanya presentation zetu mambo yakaenda poa upande wangu na wake pia.Akanishukur sana. So mambo mengine yakaendelea mpaka tunamaliza chuo 2013 akarud kwao mwanza kapata kazi hukoo.
Tukawa tunawasiliana wasiliana mm niko dar lla sio kama wapenz.Na mawasiliano pia hayakua romantic na sio ya mara kwa mara.Nikapata kibarua kampun flan hapo posta kama technical supervisor kwenye miradi ya IT.Tulifanya sana kaz za mabenki hivyo nikawa nasafir sana.

2015 nikawa naelekea Musoma bank moja pale mjini.Tulikua tunafanya renovation ya network infrastructure yao.Nikamaliza nikawa nageuka kurud mwanza then nirud Dar.
Basi hapa ndio picha lilipoanza.

Nikiwa narud kabla sijafika mwanza nikakumbuka huyu kiumbe nikam text kuwa napita mwanza toka musoma.Akauliza uko wap ?nikamwambia.
Akanambia lazima nifike home siwez rud Dar bila ya kuonana,kanielekeza nishuke igoma,pale akanambia nichukue boda then yy akampa maelekezo dereve wa boda ,huyoooo mpaka home kwake anakoishi alone.

Alikua amependeza kwel.Na muda huo kumbuka hatuna mahusiano zaid ya u friend tu.
Nikaingia ndani tukapiga stori za hapa na pale na she was happy kwakwel.Ndani anapoishi ilikua self contained.Bwana wee ,alifanyaje unajua?
Kwanza akanambia TheOnlySurvivor muda huu ni jion (saa 1 jion) na mm sina mpango wa kupika na ww najua umechoka.Hapa ni nyumban kw mwanamkehuwez lala, nitakupeleka juu hapo kuna hotel na bar so utapata chakula hapo uchukue na chumba hapo cha kulala then kesho uendelee na safar yako.

Ghafla ,naona anavua nguo moja moja,e bwana wee...nikaona enhee keo ndio naabika mwanaume.Hapo kimya kikatawala.Alipomaliza,akiwa uchi kabisa akachukua kanga akavaa akaingia bafuni.
Duh!!Mtandao ukasoma 6G akil ikataka hamia kichwa cha chini ila nikaidhibiti.
Nikawa mpole na kuongeza umakini..

Alipomaliza akatoka akajikausha maji huku stori za hapa na pale zinaendelea,akachangua jinsi tight na tishirt akavaa.Akasema twenzetu.Aisee yan nilikua kama fala flan hiv.

Akaita boda tukapanda tukafika tulipokusudia.Mfukoni niko vizur sana sana.
Nikaenda jion nikaonda nyama kama kilo na ndiz ,situmii pombe so nikaa juice kubwaa kuvuta muda yy akawa anapiga vyombo vyake kama kawaida ya wachaga.
Nikaenda ku book chumba kwa ajil ya mm kulala hapo iku hiyo.Tukiwa tunaendelea na stori, mara ghafla kapigiwa cm na boyfriend wake,yuko abroad anasomea udaktari.
Kwakua pale kuna kelele basi akaniomba funguo za chumba akaenda kuongelea ndani ili asionekane ametoka kwenda viwanja.
Akakaa sana na alipomaliza akanitumia text "njoo tuhamie tu ndani".
Nikawaambia wahudumu waingize vitu vyetu ndan na chakula kilikua tayar kikapelekwa dani.

Basi hapo nikaona asee inabid nichangamke,wakat anaendelea kupiga vyombo,na kula nikaingia kuoga nikamaliza nikafunga taulo nikamjoin mezani .Hpo hal9i ikawa imeanza kubadikika.maongez yanaelekea kwingine hapo .

Nikapeleka mkono begani, kimya,nikaushushia kifuani ,naona ushirikiano upo,nikauhamishia shingono kisha mashavuni, nikamvuta kwangu ,naona mtoto kajaa,nikampa romance ya nguvu,Vita y WW1 ikaanzia hapo.kumbe manzi alikua ananielewa kitambo sanaa toka chuo.

Nilichapa saanaaaa.Nilichapa sana wakuu.Asbh akawah kuondoka kwenda kazn.Mm nikaendelea na safar kurud dar.kimasihara sihara tu ikajitokeza tumekulana na oenz likaanzia hapo japo yy al9ikua na wake na mm nina wangu tena nimeoa kwa ndoa.

Baada ya hapo hatukua na mawasiliano ya mara kwa mara il9a ni yale ya kushtukiza tu tukimisiana.Mm dar yy mwanza so hakuna tabu.

Miaka miwili tena baadae nikarud mwanza kikazi,HAPA NITAWALETEA YALIYOJITOKEZA MENGINE AMBAYO HAYA HAYAKUA KIMASIHARA ILA HATA MM YALINIFUNZA KITU.

samahan kama uandishi umewachosha.
 
Hahahaha umetisha mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani huu ni Uongo mkubwa kuwahi kusikika hapa JF, baada ya doctor wa watu kutoa yake naona wanawake mmetamani hizo like 60+ alizopata kutokana na paragraph yake, na mmeanza kujimwambafia.. sasa kwa taarifa yako Demiss tumesha kustukia, acha dhuruma ya kutudindishia mb**oo zetu kwa story za kusadikika[emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lidocaide ni anaesthetic agent..ya kutia ganzi,,sio kwa ajili ya sex..hayo matumizi mengine ni mabaharia tu wameamua kufekeche

Ni kama wanavyotumia Tramadol(Dawa ya maumivu-analgesic) ili kuchelewa kuwatoa mabeberu..na Tramadol ni Opiod japo addiction yake ni ndogo..so kuweni makini na hizi dawa

Tule vizuri na tufanye mazoezi
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]***** hadi nimehisi ngenye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…