Nyingine hii

Back in days nikiwa O'level Moshi, kuna dem tulisoma nae alikuwa kikojozi sana,mbaya zaidi hakuwa akijipenda na kwao maisha yalikua magumu shule anakuja mchafu, unform zake zimechakaa viatu mtihani, yule dem tulimpa jina la utani "Kimchelee" hili tulikuwa tunalijua sisi wana tu,na tulimpa jina hili kutokana alikuwa ananuka ka harufu flan hivi kama mchele ule unanukiaa, na kama mnataniana mtu akikwambia "dem wako kimchelee"lazima umind hata wasichana wenzake walimtenga!!

Basi bwana,baada ya miaka mingi kupita,mimi nko chuo apo mwaka wa 2,masomo magumu,nina stress balaa napiga Hamza Kanun mojamoja town posta mpya pale,nasikia naitwa na sauti ya kike "chineduu"nikageuka sikuona mtu ninayemfaham nikawaza labda si mimi ukizingatia jina langu ni popular sana, kila nikienda nasikia naitwa tu, mara mtu ananigusa bega kugeuka Aisee!!sikutarajia...

Alikuwa mtoto mmoja mkali vibaya mno, kajaliwa sura, shepu hatari, kavaa uniform za Supermarket moja kubwa na maarufu hapa mjini, ila mimi sikua namkumbuka huyu dem kwa io nkawa sielew kipindi, akaanza za siku, umekuwa mkubwa bla bla bla kibao akawa anaongea yeye tu mimi namtizama, akanambia hakutegemea kuniona hivo nmpe ata 20-30 hivi tukae sehem tuzungumze, kwel tulikaa sehem lakin sikua bado namjua ni nani japo kwenye mazungumzo alionesha kunijua sana!!

Kwa alkil ya haraka haraka nikahisi tulisoma nae, lakini nmesoma mikoa kama 4 hivi tofauti tofauti kwanzia primary-A level.kwenye story akawa anaulizia wanangu nliosoma nao Moshi kwa io nikajua nmesoma nae wap,ila huyu ni nani sina idea,baadae nkamuuliza maswal ya tecnik ambayo majib yake ndo nikajua aaah kumbe huyu ni Kimchelee!! Aisee nilishangaa sana alivyokua, basi story story pale nkachukua namba tukatawanyika ila nilibaki nikistaajabu sana!!

Tuliendelea kuchat nae kawaida tu,na mara nyingi alikuwa akianzisha yeye story,sikua na mawazo ya kumtafuna kwanza alionekana ni wale madem wa tabaka flan hiv,Jumapil moja akanialika kwake Kinondoni,nkamuulza kuhusu shemeji akasema njoo utamkuta hana shida, basi nikaenda kichwani nikiwa na mawazo kwamba natembelea familia ya mke na mume! Nmefika pale nmepokelewa njiani na ma hug mbele za watu adi najisikia soo, maana dem anamwil shepu mzuri alafu mimi dah!!

Tumefika kwake dem amepanga nyumba upande mzima,story mbili tatu nkakaribishwa menyu nmepiga fresh nkamuuliza mbona shem simuoni akanambia kaenda kusoma abroad,bas dem akasema anasikia joto ngoja akajimwagie maji, kaenda karudi aisee Mungu anaumba si mchezo!

Basi dem kaja kakaa pembeni yangu yani 0 distance,japo sebule kubwa, akaanza kuniulizia dem wangu wa o'level nkamwambia aliniacha dem akasikitika kizushi pale me namchora tu, mara ooh sorry nmekukumbusha vidonda wakati nlikuwa normal tu, naona mtu ananikumbatia ananilazia kwenye matiti yake, apo nkaacha uzembe nkajibu mashambulizi pale piga romance ya atari,nkamtenga apo piga sana!! Baadae dem anaanza kulia eti haamini kama kanipata ooh nilikuwa nakupenda tangu O'level ila nilidhan sitokupata kwa sababu ulikuwa unapendwa na wengi!!

Basi niliendelea kujipigia yule dem mpaka bwana ake alivyorudi akamuoa wakahamia Kenya ambako anafanya kazi mshkaji huko, huwa nawasiliana nae mara chache chache sana, na nikiri tu sijawahi kupata dem mzuri kama huyu Tangu nizaliwe!!

Nilichojifunza kwamba unaemdharau leo hii kesho huwezi jua atakuwa nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupitia uzi huu nami nimeona nilete kisa changu cha kupata penzi kimasihara kutoka kwa shemeji yangu.

Ilikuwa 2012,,,tulienda Kahama kwa ajili ya usimamizi wa project flani za miradi ya Maji. Tulikuwa mimi na workmate mwenzangu ambae kwa bahati nzuri yeye alifanikiwa kupata binti mmoja mwenye asili ya kinyarwanda na kufanikiwa kumzalisha mtoto mmoja.

Tulikaa Kahama karibu mwaka mzima tukisimamia mradi,,,,sasa jamaa yangu ambae ni workmate mwenzangu alikuja kupata msala wa kutembea na mke wa kigogo flani wa polisi hapo kahama na kusababisha kukimbia bila kuaga matokeo yake akaishia kumtekeleza yule mtoto na mama yake.Baada ya muda tukamaliza zile project na mimi kurudi zangu dar kuendelea na shughuli zingine za kujenga taifa.

Mwaka 2014 nikapata safari ya kikazi kwenda tena kahama,,,,hapa nikiri tu ndo kipindi nilichomla shemeji yangu kimasihara,,,,Nimefika kahama mida ya saa nne usiku nikachukua chumba hotel iliyo jirani na stand ya mabasi kahama mji,,,Kesho asubuhi nimeamka zangu naendelea na shughuli zangu kwenye laptop,,ghafla nasikia simu inaita kupokea nasikia sauti ya upande wa pili inasema,,, Shem habari za siku nyingi, nasikia umekuja kahama,,,,namuliza wewe nani,,,ananijibu mimi ni Elizabeth,,, niliezaa na flani yule mliokuja nae kipindi kile kwenye mradi ya Maji,,,nikasema yes nakukumbuka,,,,Namuliza umejuaje nipo kahama,,,ananijibu nimeambiwa na rafiki yako,,,nikamwambia ni kweli nipo kahama ila nipo kikazi kwa muda kama mwezi mmoja hivi,,,so usijali nitakuja kukusalimu tu.Tukaagana kwenye simu,,mim nikiendelea na yangu kuandaa program zangu za kazi mambo yaende fresh.

Kufika jioni hivi naona text kwenye simu,,, mambo vp Shem,,,umefikia hotel gani,,,,moyoni nikjisema acha tu nimjibu nione itakuwaje,,wakati huo mi nipo nimekaa kaunta ya hotel nakula zangu bia mdogo mdogo tu,,,,within 15 minutes tu,,,simu inaita naambiwa nimeshafika hapa upo wapi,,,,namwambia karibu hadi ndani njoo kaunta huku,,,,dah shemeji yangu huyu alipendeza vibaya mno,kazidi kuwa mzuri mno.

Nikimkaribisha pale vinywaji,,yeye akaagiza castle light,,,,huku story zikiendelea nyingi zikiwa za kumlalamikia jamaa kampotezea tu yeye anamlea mtoto pekee yake,,,nikawa namtia tu moyo ipo siku mambo yataka sawa jamaa atarudi kuchukua mwanae,,,huku mimi nazidi tu kumsifia kwamba amezidi kuwa mzuri,,nikampiga na picha ya kizushi kumwambia namtumia jamaa aone jinsi ulivyopendeza na kuwa mzuri.

To cut the story shorty,,, Tulikunywa mpk mida ya saa tano usiku hivi huku akiomba aondoke usiku ushaingia,,,nikamtania tu,,vp kama hutojali acha nikusindikize nipaone kwako,,huku namtania au unaogopa utaonwa na mwanaume wako,,,akajibu wala hata hayupo tushagombana na kuachana,,,nikamwambia twende room nikavae viatu(hapa nilikuwa nimevaa tu ndala za hotel) ili nikupeleke kwako,,akakubali twende wote room,,,kufika tu kaingia zake toilet kukojoa,,,kutoka tu toilet nikamtania,''dah unakiuno kizuri Shem,,wakubwa wanafaidi sana'' alichonijibu sasa,,,""hata wewe ni mkubwa tu,,,nikajisemea moyoni huyu,,haondoki hapa bila kuliwa,,,,.Nikamzingua ngoja nioge then nikusindikize,,,akasema sawa lakini fanya haraka ili niwahi,,nikamjibu poa,,,,nikavua nguo zangu pale nikabaki na boxer then nikajifunga taulo huku nawaza jinsi gani navyoweza kumla huyu kiumbe tena bila mtongozo,,.

Nimetoka kuoga namkuta mtoto kajilaza kitandani huku kafunga vimacho vyake vizuri,,,nikamsogelea karibu kabisa,,,kumshika mkono tu,,,hill joto nikasema huyu simuachi,,,,,sogeza mdomo karibu na sikio ili nimnong'oneze kitu,,wazo linajia pitisha ulimi sikioni,,,,napitisha tu ulimi mtoto akaanza kuweweseka,,huku mimi nachezea mtt ambayo yapo ndani ya blauzi yake,,,chezea sana mwishoni nikavua tight na chupi then piga deki sana,,,dah mtoto anarusha maji yule,,,,piga sana katerero,,,godoro lote chapa chapa,,,,kaja kuondoka kumeshakucha,,,,anasema ooohhh Shem sasa azma yangu imetimia,,,namuuliza kulikoni,,eti oohhh rafiki yako alishwahi tembea na rafiki yangu,,,so na mimi nimelipiza,,,nikamuuliza sasa ulivyotaka nikupeleke kwako,ingekuwaje akadai hata kule tu ningekufanyia vitimbi hadi ulale na unipige mashine.

Mwisho ikabidi ule mwezi niwe najilia tu Shem wangu maana hakuna kitu napenda km mwanamke anayerusha maji,,,siku zingine nalala kwake najilia tu vyangu,,,,jamaa yangu mpk Leo hajui chochote kama nishamla mama mtoto wake
 
Wanyarwanda watamu saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah... wazungu kuvaa hivo ni kawaida... ungemtongoza tu mzee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Inafundisha sana by the way wew umeandika kama unasimulia hata haichoshi
 

🤣🤣et demu mbaya bora nyeto duuh
 

Marafiki fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…