Hongera mkuu kimasihara ukapata mpaka jiko

Sent from my SM-A105F using Tapatalk
 
Hii ndo kuliwa kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unaliwa sana ivo nipe namm basi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahia ulichojifunza

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hii nzuri sanaa...!! Kumbe masiharaa yanaweza leta ndoaa... Japo mwana itakuwa aliumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh ***** uliopoa mke kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja na mimi nishare visa vyangu vya kula tunda kimasihara ila mabaharia mtatoa marks maana inaweza isiwe masihara kumbe kawaida 2,mwaka flan hivi nimeingia zangu SAUT Mwanza niliapa kutokutongoza mwanachuo kwani kuna bro alinitahadharisha sana kuhusu hao viumbe wanavyomaliza maboom ya masela so nikasema wasinichezee mie nitatafuta wananzengo 2 ,bc bhn nimekaa miezi 5 bila kufanya mapenzi mie kazi yangu ni asubh zoezi jioni nikipata muda naenda zangu kucheza mpira,maisha yakawa hivyo so Kuna siku naend zangu kununua mboga mchicha karib na hostel yetu nakuta bustanini Kuna kaka na dada wanashughulika kucheki mtoto anafaa kwa matumizi nikaanza ucheshi pale jamani dada unaitwa nani?naitwa Anita nikakumbuka wimbo wa matonya na jide nikapiga mistari miwili mi tatu mtoto akaanza kunisifia oooo unajua kuimba nikamwambia hapa nina harak ningekuimbia sana ila waweza kuja kunitembelea siku yoyote dirisha lilie chumba namba flani mtoto anacheka 2,ile najiandaa kwanda kwenda zoezi nakuta mlango unagonga kufungua ni yule mtoto ananiambia nimekuja uniimbie nikasema isiwe kesi nikarudia song lile anafurahi balaa kilichofuata baada ya hapo ilibidi zoezi lifanyikie kitandani shoo ya kibabe kwl kwl kutoa hasira za kukaa miezi yot bila kufanya mapenzi nilimalizia kwake mtoto wa kihaya alikuwa mtamu ila sema ana pigo za demu wa gwajima,bc akawa demu wangu kuanzia happy ule ukame ukawa haupo Tena nikawa najilia taratibu muda wowote nikitaka,nilikuwa napiga shooo za mwendo Kasi kumbe anaenda kuwasimilia rafiki zake kwamba amekutana n mwanaume wa kwle so Kuna mda akija kulala gheto ananipa niongee na hao rafiki kumbe nao wanataka wampindue mwenzao,baada miezi kukaa na yule manzi ulitokea mtafarukunflani hiv nikaamu nipige chini niendelee na maisha yangu so alilia sana akawaomba rafiki zake wamuombee msamaha rafiki zake wakaona hii ni fursa nao kuliwa. kisa kinaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kiendelee tu mwanakwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh story tamuuuuu balaaaa ila hapo mwisho umeharibu kusema bado upo kwenye ndoa kwani ulitaka uwe wapi??

Yaani kwamtazamo wangu nimekusoma kwasasa hivi kuishi kwenye ndoa kwamda mrefu nikama vile miujiza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…