[emoji848][emoji848] kamba hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai imezidi sukari sana. Mabaharia mkianza chai uzi unaanza kuboa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale mnaohudhuria marathon vipi hamjawala kimasihara huko? Maana naona wimbi kubwa la wadada siku hizi ni washiriki wa Marathon
 
Next time home karagwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii nayo imeishia pazuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUHUSU SHEMEJI!!

Kwanza huyu shemu wangu mimi ndo nilihusika ktk kufanikisha mahusiano na Kaka,

Kipindi nipo secondary bro alikuwa yupo chuo, bro kanizidi miaka 10 Ila ndo aliyeniachia ziwa, pia tunafanana Sana yaani,
Huyu Shem yeye Ni jirani yetu hivyo kipindi nakua nilikuwa namwona na alikuwa rafiki yangu Maana Kuna kipindi alikuwa ananisaidia ktk masomo!!

Bro alimpenda huyu dada lakini alikuwa hawezi kumtongoza hivyo akanitumia Mimi kufikisha ujumbe, kumbe yule dada alikuwa anapenda bro kitambo tu, kufupisha stor, bro alifanikiwa kumnasa yule dada, na ndo Shem wangu Maana walioana na kufunga ndoa kbsa!!
Katika maisha ya ndoa Mambo yalikuwa mazuri Sana, Ila walikuwa hawana mtoto ndani ya kipindi Cha miaka 2 ya ndoa, hapo maneno yakaanza watu wanamtupia lawama mke wengi bro,

Walipofanya vipimo bro ilionyesho kila kitu yupo sawa Ila sperm zake Ni immature sperms hivyo haziwezi rutubisha, baada ya vipimo vile ilibidi wahamie kwenye mitishamba a.k.a tiba mbadala wametumia Sana bila mafanikio!!(haya yote walikuwa wanafanya Siri na Hakuna waliyemwambia ktk familia)

Wakati nipo chuo likizo nyingi nilikuwa naenda kwa bro, bro alikuwa anafurahia Sana uwepo wangu pale pia Shem,

Siku moja nipo zangu room, Shem akaniita nikaenda akaniambia naomba nielekeze Nini Maana ya inmature sperm Maana Kuna rafiki yangu ataka kujua!! Nikamwelekeza vizuri Sana!!

Kesho yake akaniita akaniambia "WEWE NI MUME WANGU, NAOMBA UWE NA UJASIRI MKUU, UNIFANYE KUTOJUTIA UAMUZI WANGU" nikamwambia Shem mbona sijakulewa? Ndo akanipa kisa chote A to Z kuhusu ndoa Yao na Hilo tatizo, mwisho akaniambia "DAMU NI NZITO KULIKO MAJI MUME WANGU, MSAIDIE KAKA YAKO"

Nikamwambia badae nitakupa jibu nimeamua kitu gani, nilifikiria Sana.....nikaona hapa nikizubaa Shem atatoka nje kutulea damu siyo yetu, nikampa jibu Shem nikamwambia " naomba hili swala liwe Siri yetu tu yaani wazee wasijue hata Kaka asijue, Basi kilichofuata Ni kupanga tu tarehe za hatari , ndivyo ilivyokuwa mtoto wa kwanza wa kiume kafanana Sana namimi, Mara ya pili tukapata mapacha wote wakiume wamefanana sana na mama Yao, mwakani tumepanga kufanya mtoto wa mwisho, tunakutana na Shem kwa Leo la kuzaa tu cyo starehe!!
Nilichofurahia ktk hili Ni Hali ya kufanana Sana na Kaka angu, hivyo hailete tatizo lolote kwa watoto!!!

Nimeamua kuweka hiki kisa kwa Maana bro yeye si mtu wa mitandaoni yaani Hana interest kbsa na Mambo haya, yeye yupo WhatsApp tu!! Hivyo hiwezi leta tatizo!!!!

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
kiutani utani hawa nimetafuna na bado naendelea nao:

Mke wa mtu wa kwanza: Ana miliki supermarket kijitonyama ni mchaga wa rombo, mume wake ni msumbufu na mtembezi kiasi dada wa watu ni mnyonge wakati wote. basi kila nikipita pale nampa pole na kumfariji. Akanizoe haraka, mengi anayopitia alikuwa akinisimulia.Hata mume asipo rudi nyumbani ananijulisha. Kuna siku nikamwambia ebu uje ubadirishe mazingira , ndio ukawa mwanzo hata sasa.Maka sasa tuna ratiba ya kuonana mara tatu ktk mwezi. Yuko vizuri utafikiri sio mchaga

Mke wa mtu wa pili: alinitumia meseji ya kunisalimia kule facebook, ukawa mwanzo wa kufahamiana kwa muda mfupi, nikajua ana watoto wawili mwenyeji wa singida na ameolewa ana miaka 48. Ila jamaa yake mwili mkubwa na kawa mvivu.
Nilianza kumuhudumia fasta siku hiyo hiyo tulipo onana ana kwa ana.Hata sasa najitolea kumsaidia kibonge

Mke wa mtu wa tatu: Alipiga simu ya ofisni kuuliza huduma zetu, baada ya maelezo kupewa akaomba namba yangu. Alinisifu kwa kuongea kwa utulivu na upole. Anaishi tabata mwenyeji wa morogoro ameolewa na ana watoto wawili. Mume anamiliki baa kiasi kila baamedi ana ratiba za kufanya nao unyumba mke kamkinai, akaanzisha ratiba kila jumapili akitoka kanisani, tunakuwa na ibada yetu binafsi kwenye nyumba za wenyeji.kiasi alifikia maamuzi tutafute chumba cha kupanga na kisha ibada iwe inafanyikia humo (kumbuka kila mtu ana kwake).

Mke wa mtu wa nne: tuna sali naye, kwenye hizi jumuiya zetu za kila juma mosi zilitufanya tu tuwe karibu ni mweji wa mbeya,ana watoto watu na bado kaumbika mwenyewe, Mume aliongeza mke mdogo na siku nyingi anashinda huko. Kuna siku alianza kulalamika hizo mambo za mume. haikuchukua muda dada akaanza kupata faraja bab kubwa,Asante uwepo wa vikao vya vicoba vya kila wiki.Napata nafasi ya kuperuzi yale maumbile kwa urahisi.

Mke wa mtu wa tano:mwenyeji wa moshi, mjasiliamali kapanga jirani, kaolewa ana watoto wawili. Alianzaga kwa kunikopa fedha ndogo ndogo tu.Mara nyingi alikuwa harudishi, nikimkumbusha anasema nitakulipa siku flani kitu flani nitulie tu.Basi ikawa hivyo ndio hivyo tena. Mume fundi ujenzi akipata kazi za mbali huko, dada anakuja kunilipa madeni yangu.



Itaendelea sasa ni 02:34 asb....... NINA "RATIBA" NA MTU WA NNE ACHA NILALE MWILI UPATE NGUVU
 
Nina wasiwasi na hii gahawa na kashata ila kama ni kweli mkuu nenda kacheki afya kila baada ya miezi 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee umejilipua sana, au unajua status yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichekrsha sana mkuu.
Bora ww umekua mkwel maana kila mtu humu anasema kala demu mkalii..ana shepuu...
Ila hujaweka waz, masikhara yalifanyika au??
 
Yule wa chuo tupa kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hivyo jina lake wala namba za simu hukuchukua ni mtu ambae hamtaonana tena duuh au mnaonana
 
Aisee... ulimwengu una mambo....

Kama hii sio chai..basi ulimwengu una mambo kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…