mkuu rudia tena kusoma,hii ni nje kidogo ya mada,kuna mdau alileta story kama hii nkaona na mm nilete inayo relate,si mimi ilitokea kwa mshkaji wangu!!
Umenichekrsha sana mkuu.
Bora ww umekua mkwel maana kila mtu humu anasema kala demu mkalii..ana shepuu...
Ila hujaweka waz, masikhara yalifanyika au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipata ulichokitaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ulimmega tena au ikiishia hiyo moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baaria ii chai kabsaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udom nimepamiss sana hapo Ng'ong'ona 2012 wanakijiji hawakuruhiswa kuvuta umeme ulokua umekuja kwaajili ya chuo vipi hali ikoje hapo sasaivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili bomu likilipuka ni hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haeakurudi kwao wakiwa wamelewa?, wazazi wao hawakustuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dhambi ya kulala na wake za watu itakuja kukuhukumu vbya mno acha mara1, adhabu hii ukikutwa ni kifo hata mama yko mzazi ktk dhambi hii hatokutetea. Acha Acha Acha mm km kk yako hunijui nakwambia hii dhambi imemfanya ndg yng kilema wa macho na miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is legendary aisee! [emoji23][emoji119][emoji119]
Tupo kwenye huu uzi since the beginning till the end of time.
#Free Rikiboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…